TANGAZO


Tuesday, May 20, 2014

Picha za wasanii, wadau na wananchi waliofika kuuaga mwili wa Adam Kuambiana Viwanja vya Leaders Kinondoni jijini Dar es Salaam


*Waziri Mukangara aongoza maelfu kuuaga mwili


Mwili wa marehemu Adam Kuambiana utawekwa mahali hapa.



Waombolezaji watakaa mahali hapa.


Eneo hili ndipo mwili wa marehemu Adam Kuambiana utakapoagwa leo asubuhi kabla ya kuzikwa katika makaburi ya Kinondoni jijini Dar es Salaam.


Mwili wa marehemu Adam Kuambina ukiwasili kwenye Viwanja vya Leaders tayari kwa kuagwa.

Wasanii wakiwa wameubeba mwili wa Kuambiana 
Baadhi ya wasanii wa filamu wakiwa wameubeba mwili wa Adam Kuambiana

Adam Kuambiana Leaders Adam Kuambiana Viwanja vya Leaders Dotnata akiwa na majonziDotnata


Jeneza lenye mwili wa marehemu Adam Kuambiana likiwa mbele ya waombolezaji.


Shilole (kulia) akiwa na baadhi ya waombolezaji.


Wema Sepetu na Aunt Ezekiel walijumuika na waombolezaji.


Simanzi ilitawala wakati wa tukio hilo.


Waziri wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Dkt. Fenella Mukangara naye alikuwepo kumuaga Adam.


Sehemu ya umati wa watu waliohudhuria shughuli ya kuaga mwili wa Kuambiana Leaders Club.



Dotnata na Bonge

Mwili wa Adama Kuambiana Leaders Club

Jeneza likiwa sehemu maalum kwa ajili ya kuagwa.


Mkurugenzi Mkuu wa Global Publishers LTD,Eric James Shigongo akitoa salamu za mwisho kwenye mwili wa marehemu Adamu Kuambiana.


Baadhi ya waombolezaji wakiaga mwili wa marehemu.


Msanii wa Filamu Flora Mvungi akiaga mwili wa marehe Kuambiana.


Mtangazaji wa Kipindi cha Jahazi kinachorusho na Clouds FM,Ephraim Kibonde akipita kuaga mwili wa marehemu Kuambiana.


JB,akiwa chini baada ya kuzidiwa na kudondoka wakati akitoa wasaa wa marehemu Adam Kuambiana.


Baadhi ya mabaunsa na wasanii wenzake wakimnyanyua JB,baada ya kuzidiwa na kudondoka chini.


Msanii wa filamu Jini Kabula akiaga mwili kwa machungu.


Msanii wa filamu Davina akibebwa baada ya kuzidiwa wakati wa kuuaga mwili wa marehemu Adam Kuambiana kwenye Viwanja vya Leaders Club Kinondoni jijini Dar es Salaam leo.





JB,akiwa chini baada ya kuzidiwa na kudondoka wakati akitoa wasaa wa marehemu Adam Kuambiana.

Baadhi ya mabaunsa na wasanii wenzake wakimnyanyua JB,baada ya kuzidiwa na kudondoka chini. (Picha zote kwa hisani ya Global Publishers)
Waziri wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Dkt. Fenella Mukangara akitoa heshima za mwishomapema hii leo katika viwanja vya Leaders kwa mwili wa msanii wa Filamu nchini Marehemu Adam Philip Kuambiana aliyefariki ghafla mwishoni mwa wiki jijini Dar es Salaam. (Picha na Frank Shija-Maelezo)
Waziri wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Dkt. Fenella Mukangara akitoa heshima za mwishomapema hii leo katika viwanja vya Leaders kwa mwili wa msanii wa Filamu nchini Marehemu Adam Philip Kuambiana aliyefariki ghafla mwishoni mwa wiki jijini Dar es Salaam.
Waziri wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Dkt. Fenella Mukangara akitoa salamu za rambirambi kwa niaba ya Serikali, kwa familia, ndugu, jamaa na marafiki wa marehemu Adam Philip Kuambiana wakati wa shughuli za kutoa heshima za mwisho kwa marehemu iliyofanyika leo katika viwanja vya Leaders jijini Dar es Salaam, kushoto ni mjane wa marehemu Bi. Janeth Rite. 

No comments:

Post a Comment