Rais Dk. Jakaya Mrisho Kikwete, Mbumge wa Karatu, mchungaji Israeli Nase (watatu kushoto), Waziri wa Maji Profesa Jumanne Maghembe (wapili kushoto), Mkuu wa Mkoa wa Arusha Magesa Mulongo (kushoto) na Mkurugenzi wa Utumishi na Utawala wa TRA, aliyemwakilisha Kamishna mkuu wa TRA Bw. Abubakari Kunenge (wapili kulia) na kulia ni mwakilishi wa Ofisi ya TRA Mkoa, Bi. Caroline Ntinku. (Picha zote na Freddy Maro)
Rais Dk. Jakaya Mrisho Kikwete akifunua kitambaa katika jiwe la msingi kuashiria kufungua rasmi Ofisi ya Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA), Wilaya ya Karatu leo, mjini Karatu.

No comments:
Post a Comment