TANGAZO


Wednesday, April 23, 2014

CCM Meatu yazoa viongozi wa Chadema


Aliyekuwa Katibu Mwenezi wa Chadema wilaya ya Meatu Kimwaga Jackson Ndibo akirudisha vitu vya Chadema zikiwemo kadi, bendera na katiba kwa viongozi wa CCM baada ya kurudi rasmi.
Mwenyekiti wa Vijana  mkoa wa Simiyu na MNEC wa Itilima Ndugu Njalu Silanga akikabdihi kadi ya CCM kwa  moja ya viongozi wa Chadema Meatu waliorudi CCM.
Mwenyekiti wa Vijana Mkoa wa Simiyu na Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya Taifa wilaya ya Itilima Ndugu Njalu Silanga (wa katikati) akiwa pamoja na viongozi wa Chama wilaya ya Meatu. (FS)

No comments:

Post a Comment