Bondia Juma Biglee (kulia), akimshambulia kwa makonde Jack Simela wakati wa mpambano wao wa masumbwi uliofanyika jana katika ukumbi wa Ndelema Inn, Chalinze mjini, Mkoa wa Pwani. Katika mpambano huo, Biglee alishinda kwa point. (Picha zote na www.superdboxingcoach.blogspot.com)
Bondia Juma Biglee (kulia) na Jack Simela wakishambuliana kwa makonde, wakati wa mpambano wao, uliofanyika jana katika ukumbi wa Ndelema Inn, Chalinze mkoani Pwani.
Bondia Mwaite Juma (kushoto), akioneshana umwamba wa kutupiana makonde na Godfrey Sadiki 'Pacho Mawe', wakati wa mpambano wao, uliofanyika jana katika ukumbi wa Ndelema Inn, Chalinze, mkoani Pwani. Bondia Mwaite Juma alishinda kwa pointi.

No comments:
Post a Comment