TANGAZO

Sunday, April 27, 2014

Rais Jakaya Kikwete aonana na Rais mstaafu wa Namibia Mhe. Sam Nujoma Ikulu jijini Dar es Salaam leo

Rais Dkt Jakaya Mrisho Kikwete akiwa na  Rais Mstaafu wa Namibia Mhe. Sam Nujoma Ikulu jijini Dar es Salaam aliyemtembelea  leo April 27, 2014. Mhe Nujoma alikuwa ni mmoja wa watu mashuhuri waliohudhuria sherehe za miaka 50 ya Uhuru jana.

Rais Dkt Jakaya Mrisho Kikwete akimtembezea sehemu mbali mbali za Ikulu Rais Mstaafu wa Namibia Mhe. Sam Nujoma aliyemtembelea  leo April 27, 2014. Mhe Nujoma alikuwa ni mmoja wa watu mashuhuri waliohudhuria sherehe za miaka 50 ya Uhuru jana.

Rais Dkt Jakaya Mrisho Kikwete akimtembezea sehemu mbali mbali za Ikulu Rais Mstaafu wa Namibia Mhe. Sam Nujoma aliyemtembelea  leo April 27, 2014. Mhe Nujoma alikuwa ni mmoja wa watu mashuhuri waliohudhuria sherehe za miaka 50 ya Uhuru jana. (Picha zote na Ikulu)

No comments:

Post a Comment