TANGAZO


Sunday, April 20, 2014

Maonesho ya Vyuo Vikuu Zanzibar katika kuadhimisha miaka 50 ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar


Mwanafunzi wa Chuo Kikuu cha Elimu Chukwani, akitoa maelezo kwa wananchi wanaotembelea banda lao kuhusu Elimu ya Sayansi viumbe vya baharini na nchi kavu. 

Mwanafunzi wa Chuo cha Utalii Maruhubi, Zanzibar akitoa maelezo jinsi ya kuandaa seti ya vyombo katika meza kwa ajili ya wageni katika kupata Chakula mahotelini. 
Mwanafunzi wa Chuo cha Afya Mbweni, kitengo cha Meno, akitowa maelezo jinsi ya kutunza meno na sababu za kusababisha meno kuoza,wakati wa maonesho ya Wanafunzi wa Vyuo Vikuu vya Zanzibar katika viwanja vya Wizara ya Habari Kikwajuni Zanzibar. (Picha zote kwa hisani ya Othaman Maulid wa Zanzinews Blog)

No comments:

Post a Comment