TANGAZO


Sunday, April 20, 2014

Vijana washerehekea Siku Kuu ya Pasaka Viwanja vya Bustani ya Mwalimu Nyerere mjini Dodoma

Vijana wakiwa kwenye Viwanja vya Bustani ya Mwalimu Nyerere vya 'Mwalimu Square', mjini Dodoma leo wakiwa wamejipumzisha wakati wa sherehe za Siku Kuu ya Pasaka. (Picha zote na Kassim Mbarouk-www.bayana.blogspot.com)
Vijana hapa wakiwa kwenye mnara wa sanamu ya Mwalimu Julius Nyerere katika Viwanja vya Bustani ya Mwalimu Nyerere vya 'Mwalimu Square', mjini Dodoma leo, wakati wa sherehe za Siku Kuu ya Pasaka.
Vijana hapa wakiwa wamejipumzisha kwenye mnara wa sanamu ya Mwalimu Julius Nyerere katika Viwanja vya Bustani ya Mwalimu Nyerere vya 'Mwalimu Square', mjini Dodoma leo, wakati wa sherehe za Siku Kuu ya Pasaka.
 Mtoto Baraka akiwa amekaa kwenye mgongo wa mama yake mdogo kwenye viwanja hivyo leo wakati wa Siku Kuu ya Pasaka.
Vijana wakipata aiskrim kwenye Viwanja vya Bustani ya Mwalimu Nyerere vya 'Mwalimu Square', mjini Dodoma leo, wakati wa sherehe za Siku Kuu ya Pasaka.
Vijana wakiwa kwenye mnara wa sanamu ya Mwalimu Julius Nyerere katika Viwanja vya Bustani ya Mwalimu Nyerere vya 'Mwalimu Square', mjini Dodoma leo, wakati wa sherehe za Siku Kuu ya Pasaka.
Vijana hapa wakiwa katika pilika pilika mbalimbali kwenye Viwanja vya Bustani ya Mwalimu Nyerere vya 'Mwalimu Square', mjini Dodoma leo, wakati wa sherehe za Siku Kuu ya Pasaka.


Vijana wakiwa kwenye Viwanja vya Bustani ya Mwalimu Nyerere vya 'Mwalimu Square', mjini Dodoma leo, wakati wa sherehe za Siku Kuu ya Pasaka.
Vijana wakizunguka kwenye maeneo mbalimbali ya Viwanja vya Bustani ya Mwalimu Nyerere vya 'Mwalimu Square', mjini Dodoma leo, wakati wa sherehe za Siku Kuu ya Pasaka.
Kijana (kushoto), akipigwa picha ya kumbukumbu kwenye Viwanja vya Bustani ya Mwalimu Nyerere vya 'Mwalimu Square', mjini Dodoma leo, wakati wa sherehe za Siku Kuu ya Pasaka.
Vijana wakiwa wamejipumzisha chini ya mnara wa sanamu ya Mwalimu Julius Nyerere katika Viwanja vya Bustani ya Mwalimu Nyerere vya 'Mwalimu Square', mjini Dodoma leo, wakati wa sherehe za Siku Kuu ya Pasaka.
Vijana wakiwa wamebarizi kwenye Viwanja vya Bustani ya Mwalimu Nyerere vya 'Mwalimu Square', mjini Dodoma leo, wakati wa sherehe za Siku Kuu ya Pasaka.
Kijana akipigwa picha ya kumbukumbu kwenye Viwanja vya Bustani ya Mwalimu Nyerere vya 'Mwalimu Square', mjini Dodoma leo, wakati wa sherehe za Siku Kuu ya Pasaka.



Vijana wakiangalia picha yao baada ya kupigwa kwa ajili ya kumbukumbu kwenye Viwanja vya Bustani ya Mwalimu Nyerere vya 'Mwalimu Square', mjini Dodoma leo, wakati wa sherehe za Siku Kuu ya Pasaka.


Vijana wakipata aiskrim kwenye Viwanja vya Bustani ya Mwalimu Nyerere vya 'Mwalimu Square', mjini Dodoma leo, wakati wa sherehe za Siku Kuu ya Pasaka.


Akinadada wakijipendezesha kwa kuwekwa rangi ya kucha na muuza urembo kwenye Viwanja vya Bustani ya Mwalimu Nyerere vya 'Mwalimu Square', mjini Dodoma leo, wakati wa sherehe za Siku Kuu ya Pasaka.

No comments:

Post a Comment