TANGAZO


Sunday, April 20, 2014

Mabondia Francis Cheka, Miyeyusho washindwa kutamba PTA

Bondia Ibrahimu Class 'King Class Mawe' (kushoto), akimwadhibu Mustafa Dotto wakati wa mpambano wao uliofanyika katika ukumbi wa PTA Sabasaba, April 19 jijini Dar es Salaam. King Class alishinda mpambano huo kwa pointi. (Picha zote na superdboxingcoach.blogspot.com)
Bondia Ibrahimu Class' King Class Mawe' (kulia), akiendelea kumwadhibu Mustafa Dotto wakati wa mpambano wao uliofanyika katika ukumbi wa PTA Sabasaba April 19 jijini Dar es salaam King class alishinda kwa pointi mpambano huo.
Bondia Mustafa Dotto kushoto akioneshana umwamba wa kutupiana makonde na Ibrahimu Class 'King Class Mawe' wakati wa mpambano wao uliofanyika PTA Sabasaba King Class alishinda kwa Point.
Bondia Ibrahimu Class' King Class Mawe' (kushoto), akimwadhibu Mustafa Dotto wakati wa mpambano wao uliofanyika katika ukumbi wa PTA Sabasaba April 19 jijini Dar es Salaam. King Class alishinda kwa pointi mpambano huo.
 Furaha ya ushindi.
King Class Mawe akihojiwa na waandishi baada ya kuibuka mshindi katika mpambano huo.
King Class Mawe katikati (aliyekaa) akiwa na marafiki zake baada ya kupata ushindi kwenye mpambano wao huo.
King Class Mawe (katikati aliyekaa), akiwa na baadhi ya marafiki zake.
Bondia Fransic Cheka (kushoto), akioneshana umwamba wa kutupiana makonde na Gavad Zohrehvand wa Iran wakati wa mpambano wao wa kirafiki wa Kimataifa uliofanyika katika ukumbi wa PTA Sabasaba jijini Dar es Salaam jana usiku. Mpambano huo uliamuliwa kwa droo ya kufungana point.
Bondia Fransic Cheka (kushoto), akioneshana umwamba wa kutupiana makonde na Gavad Zohrehvand wa Iran wakati wa mpambano wao wa kirafiki wa kimataifa uliofanyika katika ukumbi wa PTA Sabasaba jijini Dar es salaam mpambano huo uliamliwa kwa droo ya kufungana point.
Bondia Fransic Cheka (kushoto), akioneshana umwamba wa kutupiana makonde na Gavad Zohrehvand wa Iran wakati wa mpambano wao wa kirafiki wa kimataifa uliofanyika katika ukumbi wa PTA Sabasaba jijini Dar es salaam. Mpambano huo uliamliwa kwa droo ya kufungana point.
Bondia Sukkasem Kietyongyuth  kutoka Thailand (kulia), akiwa amemkalisha bondia Francis Miyeyusho katika raundi ya kwanza ya mpambano wa raundi kumi na kufanikiwa kwa kushinda kwa K.O.
Bondia Francis Miyeyusho (kushoto), akijitutumua kupigana na Bondia Sukkasem Kietyongyuth  kutoka Thailand  miyeyusho alipigwa raundi ya kwanza bila huruma.

Bondia Francis Miyeyusho (kushoto), akijitutumua kupigana na bondia Sukkasem  Kietyongyuth, kutoka Thailand. Miyeyusho alipigwa raundi ya kwanza bila huruma.

No comments:

Post a Comment