Mafundi wa Kampuni ya Oilcom wakiangalia mabaki ya lori la kampuni hiyo lililochanika baada ya kulipuka kwa tanki lake wakati likichomewa katika eneo la Tabata Relini, jijini Dar es Salaam jana. (Picha na Emmanuel Herman)
TAHARUKI ya aina yake ilitokea jana, eneo la Tabata Relini kwenye yadi ya malori ya Kampuni ya Oilcom baada ya kutokea kishindo kikubwa kilichotokana na kupasuka kwa tanki la mafuta, lililosababisha watu wawili kujeruhiwa.
No comments:
Post a Comment