TANGAZO

Thursday, April 24, 2014

Kikao cha Bunge Maalum la Katiba mjini Dodoma leo

Baadhi ya wajumbe wa Bunge Maalum la Katiba wakiwasili katika Ukumbi wa Mikutano kwa ajili ya kuendelea kujadili Sura ya Kwanza na Sita ya rasimu ya Katiba Mpya leo mjini Dodoma.

Wauguzi na Waganga wa Zahanati ya Bunge mjini Dodoma wakitoa msaada wa huduma ya kwanza na kufanya maandalizi ya kumpeleka Mjumbe wa Bunge Maalum la Katiba Ziana Mohamed Haji katika Hospitali ya Mkoa wa Dodoma leo baada ya kupata matatizo ya  mshutuko.

Wajumbe wa Bunge Maalum la Katiba ambao pia ni ndugu na jamaa wa mjumbe wa bunge hilo, Ziana Mohamed Haji wakijadiliana na watendaji wa Bunge hilo jinsi ya kumsaidia baada ya kupata matatizo ya mshutuko leo mjini Dodoma.

Wajumbe wa Bunge Maalum la Katiba Esther Juma (kushoto) na Catherine Saruni (kulia) wakibadilishana mawazo leo mjini Dodoma mara baada ya mapumziko ya kujadili Sura ya Kwanza na Sita ya rasimu ya Katiba Mpya.
Makamu wa Pili wa Rais wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar ambaye pia ni Mjumbe wa Bunge Maalum la Katiba, Balozi Seif Ally Idd(katikati) akibadilishana mawazo na Wajumbe wa Bunge hilo Mohamed Aboud Mohamed(kushoto) na Haji Omar Heri (kulia) leo mjini Dodoma wakati mapumziko mafupi ya mjadala kuhusu Sura ya Kwanza na Sita ya rasimu ya Katiba mpya.

Mjumbe wa Bunge Maalum la Katiba, Saada Mkuya Salum akichangia maoni yake leo mjini Dodoma kuhusu Sura ya Kwanza na Sita ya rasimu ya Katiba mpya. 

Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ambaye pia ni Mjumbe wa Bunge Maalum la Katiba, Mizengo Pinda (wa pili kulia) akibadilishana mawazo na Watendaji wa Bunge na Wajumbe wenzake Nassoro Salim (kulia),Haji Omar Heri(wa tatu kulia), Mohamed Aboud Mohamed(wa pili kushoto), Dkt. Tereza Huvisa (kushoto) na Katibu wa Bunge Maalum la Katiba Yahaya Hamis Hamad(wa tatu kushoto) leo mjini Dodoma wakati wa mapumziko mafupi ya kujadili Sura ya Kwanza na Sita ya rasimu ya Katiba mpya.
Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ambaye pia ni Mjumbe wa Bunge Maalum la Katiba, Mizengo Pinda (wa pili kulia) akibadilishana mawazo na Watendaji wa Bunge na Wajumbe wenzake Nassoro Salim (kulia),Haji Omar Heri(wa tatu kulia), Mohamed Aboud Mohamed(wa pili kushoto) , Dkt. Tereza Huvisa (kushoto) na Katibu wa Bunge Maalum la Katiba Yahaya Hamis Hamad(wa tatu kushoto) leo mjini Dodoma wakati wa mapumziko mafupi ya kujadili Sura ya Kwanza na Sita ya rasimu ya Katiba mpya.
Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ambaye pia ni Mjumbe wa Bunge Maalum la Katiba, Mizengo Pinda (wa pili kulia) akibadilishana mawazo na Watendaji wa Bunge na Wajumbe wenzake Nassoro Salim (kulia), Haji Omar Heri(wa tatu kulia), Mohamed Aboud Mohamed(wa pili kushoto) , Dkt. Tereza Huvisa (kushoto) na Katibu wa Bunge Maalum la Katiba Yahaya Hamis Hamad(wa tatu kushoto) leo mjini Dodoma wakati wa mapumziko mafupi ya kujadili Sura ya Kwanza na Sita ya rasimu ya Katiba mpya.
Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ambaye pia ni Mjumbe wa Bunge Maalum la Katiba, Mizengo Pinda (kulia) akibadilishana mawazo na Wajumbe wenzake, Mohamed Aboud Mohamed (katikati) na Dkt. Tereza Huvisa (kushoto), leo mjini Dodoma, wakati wa mapumziko mafupi ya kujadili Sura ya Kwanza na Sita ya rasimu ya Katiba mpya.
Mwenyekiti wa Umoja wa Wajumbe wa Bunge Maalum la Katiba wa Tanzania Kwanza, Said Mkumba (kushoto), akiwa na wajumbe wenzake (kulia), akizungumza na waandishi wa habari, mjini Dodoma leo kuhusu kuwataka wajumbe wenzao wa Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa), kurudi bungeni kwa ajili ya kuendelea na vikao vya bunge hilo.

No comments:

Post a Comment