Wachezaji wa Timu ya Kokni Jamat ya Zanzibar katika picha ya pamoja.
Nahodha
wa Timu ya Kokni Jamat Ibrahim Dalvi (kulia) na msaidizi wake Nabil
Shamshuddin wakiwa wameshikilia kombe mara baada ya kuwasili Zanzibar. (Picha zote na Makame Mshenga-Maelezo, Zanzibar)
No comments:
Post a Comment