Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Profesa Elisante Ole Gabriel akisalimiana na Afisa wa Ushirikiano wa Kuitamaduni, Kiuchumi na Kimaendeleo kutoka Ubalozi wa Ujerumani nchini Jan-Dieter Gosink. Katikati ni Naibu Mkuu wa Kazi Maalum wa Ubalozi huo Hans Koeppel.
Kutoka kushoto Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Profesa Elisante Ole Gabriel, akiwa kwenye mazungumzo na Afisa wa Ushirikiano wa Kuitamaduni, Kiuchumi na Kimaendeleo kutoka Ubalozi wa Ujerumani nchini Jan-Dieter Gosink na Naibu Mkuu wa Kazi Maalum wa Ubalozi huo Hans Koeppel.
Ofisa wa Ushirikiano wa Kuitamaduni, Kiuchumi na Kimaendeleo kutoka Ubalozi wa Ujerumani nchini Jan-Dieter Gosink (kushoto) akizungumza na Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Profesa Elisante Ole Gabriel huku Naibu Mkuu wa Kazi Maalum wa Ubalozi huo Hans Koeppel akifuatilia kwa makini.
Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Profesa Elisante Ole Gabriel, akifafanua jambo wakati akizungumza na Afisa wa Ushirikiano wa Kuitamaduni, Kiuchumi na Kimaendeleo kutoka Ubalozi wa Ujerumani nchini Jan-Dieter Gosink (kushoto) na Naibu Mkuu wa Kazi Maalum wa Ubalozi huo Hans Koeppel.
Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Profesa Elisante Ole Gabriel akifafanua jambo wakati alipokutana na Maafisa kutoka Ubalozi wa Ujerumani nchini. Kushoto ni Naibu Mkuu wa Kazi Maalum wa Ubalozi huo Hans Koeppel.
Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Profesa Elisante Ole Gabriel akisisitiza jambo wakati alipokutana na Maafisa kutoka Ubalozi wa Ujerumani nchini. Kulia ni Afisa wa Ushirikiano wa Kuitamaduni, Kiuchumi na Kimaendeleo kutoka Ubalozi wa Ujerumani nchini Jan-Dieter Gosink.
No comments:
Post a Comment