Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dk. Mohammed Gharib Bilal ambaye pia ni Mkuu wa Taasisi ya Afrika ya Sayansi na Teknolojia ya Nelson Mandela iliyopo Arusha, akihutubia kwenye Mahafali ya kwanza ya Taasisi hiyo iliyofanyika jana, Disemba 19-2013.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dk. Mohammed Gharib Bilal ambaye pia ni Mkuu wa Taasisi ya Afrika ya Sayansi na Teknolojia ya Nelson Mandela iliyopo Arusha, akimtunuku Clarence Msafiri mhitimu wa shahada ya uzamili kwenye Mahafali ya kwanza ya Taasisi hiyo iliyofanyika jana, Disemba 19-2013.
Makamu Mkuu wa Taasisi ya Afrika ya Sayansi na Teknolojia ya Nelson Mandela iliyopo Arusha akimkabidhi zawadi maalum Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dk. Mohammed Gharib Bilal ambaye pia ni Mkuu wa Taasisi hiyo kwenye Mahafali ya kwanza ya Taasisi hiyo iliyofanyika jana, Disemba 19-2013.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dk. Mohammed Gharib Bilal ambaye pia ni Mkuu wa Taasisi ya Afrika ya Sayansi na Teknolojia ya Nelson Mandela iliyopo Arusha, akiwa kwenye maandamano ya wahitimu wa shahada ya uzamili kwenye Mahafali ya kwanza ya Taasisi hiyo iliyofanyika jana, Disemba 19-2013.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dk. Mohammed Gharib Bilal ambaye pia ni Mkuu wa Taasisi ya Afrika ya Sayansi na Teknolojia ya Nelson Mandela iliyopo Arusha, katikati akiwa katika picha ya pamoja na wahitimu wa shahada ya Uzamili kwenye Mahafali ya kwanza ya Taasisi hiyo iliyofanyika jana, Disemba 19-2013.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dk. Mohammed Gharib Bilal ambaye pia ni Mkuu wa Taasisi ya Afrika ya Sayansi na Teknolojia ya Nelson Mandela iliyopo Arusha, katikati akiwa katika picha ya pamoja na wahitimu wa shahada ya Uzamili kwenye Mahafali ya kwanza ya Taasisi hiyo iliyofanyika jana, Disemba 19-2013. (Picha zote na OMR)
No comments:
Post a Comment