TANGAZO

Friday, December 20, 2013

Mahafali ya 12 ya Chuo Kikuu Mzumbe, Kampasi ya Dar es Salaam yafanyika

Baadhi ya wahitimu katika mahafali ya 12 ya Chuo Kikuu Mzumbe, Kampasi ya Dar es Salaam, wakiwa katika mahafali yao hayo leo.  Katika mahafali hayo, jumla ya wahitimu 1225 walipata shahada za uzamili katika makundi nane ya programu mbalimbali.

Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu Mzumbe, Profesa Joseph Kuzilwa (wa pili kulia) akiwa pamoja na Naibu Makamu Mkuu wa chuo hicho, Profesa Josephat Itika (wa pili kushoto) na Kaimu Mkuu wa Chuo, Profesa Daniel Mkude (kulia), wakati wa mahafali ya 12 ya Chuo Kikuu Mzumbe, Kampasi ya Dar es Salaam leo.  Kushoto ni Bw. Ludovick Utoh ambaye ni Rais wa Baraza la wahitimu Chuo Kikuu Mzumbe.

No comments:

Post a Comment