TANGAZO


Tuesday, November 26, 2013

Ziara ya Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahaman Kinana, Busokelo, Rungwe

Katibu wa NEC wa Itikadi na Uenezi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Nape Nnauye (kushoto), akilakiwa na Mjumbe wa Halimashauri Kuu ya CCM, Wilaya ya Rungwe, Richard Kasesera, wakati msafara wa Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana ulipowasili Wilaya ya Rungwe kutoka Wilaya ya Kyela juzi, kuanza ziara  ziara ya kuimarisha uhai wa chama hicho na kukagua miradi ya maendeleo inayotekelezwa kwa kufuata ilani ya uchaguzi ya CCM, wilayani Rungwe, Mbeya jana.
 

Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana, akisaidia kukata mbao ya kujengea paa ya moja ya vyumba vya madarasa katika Shule ya Sekondari, Mwakaleli, wilayani Rungwe, Mbeya akiwa katika mwendelezo wa  ziara ya kuimarisha uhai wa chama hicho na kukagua miradi ya maendeleo inayotekelezwa kwa kufuata ilani ya uchaguzi ya CCM, wilayani Rungwe, Mbeya jana. 
Wazee wa Kinyakyusa wakitumbuiza kwa ngoma ya asili ya ipenenga wakati wa mkutano wa hadhara uliofanyika katika Kata ya Kandete, Mwakaleli, akiwa katika ziara ya kuimarisha uhai wa chama hicho na kukagua miradi ya maendeleo inayotekelezwa kwa kufuata ilani ya uchaguzi ya CCM, wilayani Rungwe, Mbeya jana.
Wasanii wa ngoma ya asili ya Ing'oma, wakitumbuiza wa hadhara uliofanyika katika Kata ya Kandete, Mwakaleli, akiwa katika ziara ya kuimarisha uhai wa chama hicho na kukagua miradi ya maendeleo inayotekelezwa kwa kufuata ilani ya uchaguzi ya CCM, wilayani Rungwe, Mbeya jana.
Katibu wa NEC wa Siasa  na Uhusiano wa Kimataifa, Dk. Asha Rose Migiro, akilala kwenye mkeka (kalili) aliopewa baada ya kuvishwa kitenge na Makamu Mwenyekiti wa Halmashauri ya Busokelo, Salome Mwakalinga (hayupo pichani), ikiwa ni heshima ya kitambua mchango wake kwa wanawake wa Tanzania wakati wa mkutano wa hadhara uliofanyika katika Kata ya Kandete, Mwakaleli, akiwa katika ziara ya kuimarisha uhai wa chama hicho na kukagua miradi ya maendeleo inayotekelezwa kwa kufuata ilani ya uchaguzi ya CCM, wilayani Rungwe, Mbeya jana. (Picha zote na Richard Mwaikenda)

No comments:

Post a Comment