TANGAZO


Saturday, November 2, 2013

Rais Kikwete akutana na Watanzania waishio London

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akizungumza na kuagana na baadhi ya Watanzania waishio jiji la London Uingereza jana jioni muda mfupi kabla ya kurejea nyumbani baada ya kuhudhuria Mkutano wa Open Government Partnership.
Rais Dk. Jakaya Mrisho Kikwete akiwa katika picha ya pamoja na baadhi ya Watanzania waishio jiji la London nchini Uingereza jana jioni. (Picha zote na Freddy Maro) 

No comments:

Post a Comment