Wakala wa Vodacom M - Pesa Amina Issah Mkazi wa Tumbaku mkoani Morogoro
akifurahi mbele ya biashara yake punde baada ya kukabidhiwa mfano wa hundi yake
yenye thamani ya shilingi 100,000 aliyojishindia katika Promosheni ya “Mkwanja
kwa Wakala”yenye lengo la kuboresha maisha ya mawakala wa kampuni ya Vodacom.
Hadi sasa kampuni hiyo imetoa fedha taslimu kiasi cha shilingi Milioni 81 na
vyetri kwa mawakala 810 wa M-pesa nchini ikiwa ni sehemu ya kutambua na
kuthamini Mchango wao kwa jamii ya watanzania na kampuni hiyo. (Picha zote na Mpigapicha wetu)
Amina Issa, Mkazi wa Tumbaku Morogoro ambae pia ni wakala wa M – Pesa akipokea
hundi ya shilingi laki 100000, kutoka kwa Meneja wa Vodacom kanda ya kati Nguvu
Masapila, baada ya kujishindia kutoka katika Promosheni ya Mkwanja kwa Wakala
yenye lengo la kuboresha maisha ya mawakala wa kampuni ya Vodacom. Hadi sasa
kampuni hiyo imetoa fedha taslimu kiasi cha shilingi Milioni 81 na vyetri kwa
mawakala 810 wa M-pesa nchini ikiwa ni sehemu ya kutambua na kuthamini Mchango
wao kwa jamii ya watanzania na kampuni hiyo. Pamoja nao katika picha ni Mkaguzi
wa Mawakala Ahmed Kaunda.
Wakala wa Vodacom M - Pesa Ramadhan Juma, Mkazi wa Nane
Nane, Morogoro akifurahi mbele ya biashara yake punde baada ya
kukabidhiwa hundi yake yenye thamani ya shilingi 100,000 aliyojishindia katika
Promosheni ya “Mkwanja kwa Wakala”yenye lengo la kuboresha maisha ya mawakala wa
kampuni ya Vodacom. Hadi sasa kampuni hiyo imetoa fedha taslimu kiasi cha
shilingi Milioni 81 na vyetri kwa mawakala 810 wa M-pesa nchini ikiwa ni sehemu
ya kutambua na kuthamini Mchango wao kwa jamii ya watanzania na kampuni
hiyo.
Rodrick Eliabu, Mkazi wa Kichangani mjini, Morogoro akiwa mwenye furaha mbele
ya biashara yake punde baada ya kukabidhiwa hundi yake yenye thamani ya shilingi
100,000 aliyojishindia katika Promosheni ya “Mkwanja kwa Wakala” yenye lengo la
kuboresha maisha ya mawakala wa kampuni ya Vodacom. Hadi sasa kampuni hiyo
imetoa fedha taslimu kiasi cha shilingi Milioni 81 na vyetri kwa mawakala 810 wa
M-pesa nchini ikiwa ni sehemu ya kutambua na kuthamini Mchango wao kwa jamii ya
watanzania na kampuni hiyo.
No comments:
Post a Comment