*Waanza na vikundi vya ujasiriamali vya Temeke jijini Dar
Mkuu wa Kitengo cha Teknolojia ya Mawasiliano Dakshit Pandya akitoa mafunzo ya Ujasiriamali kwa wajasiriamali wa wilaya ya Temeke jijini Dar es Saalam.
Mfanyakazi wa Benki ya Barclays, Valence Luteganya (mwenye fulana nyeupe), akitoa somo kwa washiriki.
Mfanyakazi wa Benki ya Barclays, Ayoub Katuga akitoa elimu ya Ujasiriamali kwa washiriki.
Mfanyakazi wa Benki ya Barclays Confort Mndema (wa kwanza kulia aliyesimama) akitoa elimu kwa washiriki.
Mfanyakazi wa Benki ya Barclays Confort Mndema (wa kwanza kushoto) akitoa elimu kwa washiriki.
Mfanyakazi wa Benki ya Barclays Eliza Kihwili akitoa mwongozo kwa washiriki wa elimu ya ujasiriamali.
Mfanyakazi wa Benki ya Barclays Eliza Kihwili akitoa mwongozo kwa washiriki wa elimu ya ujasiriamali.
Stephania Soko (kushoto), ambaye ni mmoja wa wajasiriamali akitoa mchango wake wakati wa mafunzo.
Washiriki wakiwa mafunzoni.
Washiriki wakiwa katika mjadala
Washiriki wakiwa katika mjadala.
Mshiriki Edwin Mwelala akitoa mchango wake.
Mfanyakazi Valence Luteganya akitiwasilisha somo.
Mkuu wa Kitengo cha Teknolojia ya Mawasiano, Dakshit Pandya (katikati), akitoa elimu kwa washiriki. Kulia ni Ofisa Mawasiliano wa Benk ya Barclays, Lilian Machera na kushoto ni Meneja wa Plan International, Tawi la Ilala, Donatian Marusu. (Picha zote na Hussein Makame, MAELEZO)
No comments:
Post a Comment