TANGAZO


Monday, October 28, 2013

Manispaa ya Ilala kuendelea kuboresha huduma za Afya

Ofisa Uhusiano wa Halmashauri ya Manispaa ya Ilala, Tabu Shaibu (kulia), akieleza kwa waandishi wa Habari (hawapo pichani), kuhusu mafanikio yaliyopatikana katika utoaji wa huduma za Afya ikiwa ni pamoja na kuboresha Miundombinu ya afya katika manispaa hiyo, wakati wa mkutano uliofanyika ukumbi wa Idara ya Habari (MAELEZO) leo jijini Dar es Salaam. Kushoto ni Mganga Mkuu wa Manispaa hiyo Dkt. Asha Mahita.
Mganga Mkuu wa Manispaa ya Ilala, Dkt. Asha Mahita (kushoto) akitoa tahadhari kwa wananchi kupitia waandishi wa habari (hawapo pichani), kuacha tabia ya kufungua makaro ya maji machafu kipindi cha Mvua ili kuepuka magonjwa ya mlipuko, wakati wa mkutano uliofanyika ukumbi wa Idara ya Habari (MAELEZO) leo, jijini Dar es Salaam. Kulia ni Ofisa Uhusiano wa manispaa hiyo, Tabu Shaibu. (Picha zote  na Hassan Silayo-MAELEZO)

No comments:

Post a Comment