Waziri Mkuu, Mizengo Pinda, akikata utepe kuashiria ufunguzi wa maonesho ya Sulgo Sokoni, yaliyoandaliwa na Ofisi ya Waziri Mkuu Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI), ikishirikiana na Shirika la GTZ la Ujerumani kwenye Hoteli ya Serena, jijini Dar es Salaam Septemba leo, Sept. 18, 2013. Kushoto ni Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa, Hawa Ghasia. (Picha zote na Ofisi ya Waziri Mkuu) |
No comments:
Post a Comment