Mkurugenzi wa Huduma za Shirika la Reli (RAHCO), Mbuttolwe Kabeta, akifafanua jambo kwa waandishi wa habari, wakati wa mkutano uliofanyika ukumbi wa Idara ya Habari (MAELEZO), leo jijini Dar es Salaam. (Picha zote na Fatuma Salum -Maelezo) Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya Kuhudumia Miundombinu ya Reli (RAHCO), Benhadard Tito (katikati) akiongea na waandishi wa habari, juu ya mikakati mbalimbali ya uboreshaji miundombinu ya Reli nchini, wakati wa mkutano uliofanyika ukumbi wa Idara ya Habari (MAELEZO) leo, jijini Dar es Salaam. Kushoto ni Mkurugenzi Huduma za Ufundi wa shirika hilo, Aminiel Omar na Kulia ni Ofisa Habari wa Idara ya Habari, Maelezo, Frank Mvungi.
Wednesday, September 18, 2013
RAHCO yakutana na waandishi wa habari kueleza mikakati yao ya kuboresha miundombinu ya Reli nchini
Mkurugenzi wa Huduma za Shirika la Reli (RAHCO), Mbuttolwe Kabeta, akifafanua jambo kwa waandishi wa habari, wakati wa mkutano uliofanyika ukumbi wa Idara ya Habari (MAELEZO), leo jijini Dar es Salaam. (Picha zote na Fatuma Salum -Maelezo) Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya Kuhudumia Miundombinu ya Reli (RAHCO), Benhadard Tito (katikati) akiongea na waandishi wa habari, juu ya mikakati mbalimbali ya uboreshaji miundombinu ya Reli nchini, wakati wa mkutano uliofanyika ukumbi wa Idara ya Habari (MAELEZO) leo, jijini Dar es Salaam. Kushoto ni Mkurugenzi Huduma za Ufundi wa shirika hilo, Aminiel Omar na Kulia ni Ofisa Habari wa Idara ya Habari, Maelezo, Frank Mvungi.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment