Wananchi wa Wilaya ya Ilala, wakipashaa wakati Mkuu wa wilaya hiyo, akikabidhi Mwenge wa Uhuru kwa Mkuu wa Wilaya ya Temeke, Sophia Mjema.
Hapa ngoma za matarumbeta zikipigwa wakati wa hafla ya makabidhiano ya mwenge huo. (Picha zote na Kassim Mbarouk-www.bayana.blogspot.com)
Wananchi wa Wilaya ya Temeke, wakikijinyoosha nyoosha kujiweka tayari kwa kuupokea mwenge huo na kuukimbiza wilayani huo.
Mkuu wa Wilaya ya Temeke, Sophia Mjema (kushoto), akiwa pamoja na Ofisa Tawala wake, Mary Shirima, wakisubiri kuupokea mwenge huo.
Wanfunzi wa Shule ya Sekondari ya Jitegemee, wakifanya mazoezi ya kujiweka sawa kwa ajili ya kuupokea Mwenge huo wa Uhuru leo, Viwanja vya Tazara, jijini Dar es Salaam.
Mkuu wa Wilaya ya Temeke, Sophia Mjema akiwahamasisha wananchi wake kuruka ruka ili kujiweka sawa kwa mapokezi ya Mwenge huo.
Maofisa wa Jeshi la Wananchi (JWTZ), Polisi na Magereza wakiwa wamejipanga tayari kusubiri kwa mapokezi ya mwenge huo.
Mkuu wa Wilaya ya Ilala, Raymond Mushi (katikati), akirukaruka kwa hamasa pamoja na kiongozi wa mbio za Mwenge Kitaifa, Juma Ali Simai (kushoto) na mkimbiza mwenge kutoka Kigoma, Christopher Emmanuel.
Mwenge ukiweka katika sehemu yake, mara baada ya kuwasili viwanjani hapo leo.
Mkuu wa Wilaya ya Ilala, Raymond Mushi (kushoto), akiwa pamoja na Kiongozi wa Mwenge Kitaifa na Kiongozi Mkuu wa Mbio za Mwenge Kitaifa, Juma Ali Simai wakisubiri kukamilika taratibu ili kuukabidhi Mwenge huo kwa wana Temeke leo.
Mkuu wa Wilaya ya Ilala, Raymond Mushi, akizungumza wakati wa makabidhiano ya Mwenge wa Uhuru kutoka wilaya hiyo kwenda Wilaya ya Temeke, Dar es Salaam leo. Kushoto ni Kiongozi wa Mbio za Mwenge 2013, Juma Ali Simai, Meya wa Manispaa ya Ilala, Jerry Silaa (wa tatu) na Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM), wilayani Ilala na Diwani wa Kata ya Vingunguti, Assaa Simba.
Mkuu wa Wilaya ya Ilala, Raymond Mushi (wa nne), akiwa tayari na Uongozi pamoja na waafanyakazi na Wananchi wa Wilaya ya Temeke, wakishangilia wakati Mkuu wa wilaya hiyo, akikabidhi Mwenge wa Uhuru kwa Mkuu wa Wilaya ya Temeke, Sophia Mjema.
Mkuu wa Wilaya ya Ilala, Raymond Mushi, akizungumza wakati wa makabidhiano ya Mwenge wa Uhuru kutoka wilaya hiyo kwenda Wilaya ya Temeke, Dar es Salaam jana. Kushoto ni Kiongozi wa Mbio za Mwenge 2013, Juma Ali Simai, Meya wa Manispaa ya Ilala, Jerry Silaa (wa tatu) na Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM), wilayani Ilala na Diwani wa Kata ya Vingunguti, Assaa Simba.
Wananchi wa Wilaya ya Ilala, wakifuatilia matukio hayo, wakati Mkuu wa wilaya hiyo, akikabidhi Mwenge wa Uhuru kwa Mkuu wa Wilaya ya Temeke, Sophia Mjema.
Mkuu wa Wilaya ya Ilala, Raymond Mushi, akizungumza wakati wa makabidhiano ya Mwenge wa Uhuru kutoka wilaya hiyo kwenda Wilaya ya Temeke, Dar es Salaam. Kushoto ni Kiongozi wa Mbio za Mwenge 2013, Juma Ali Simai, Meya wa Manispaa ya Ilala, Jerry Silaa (wa tatu) na Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM), wilayani Ilala na Diwani wa Kata ya Vingunguti, Assaa Simba.
Mkuu wa Wilaya ya Temeke, akikumbatiana na Mmoja wa wakimbiza mwenge Kitafa, Jembe la Zanzibar.
Kiongozi wa Mbio za Mwenge wa Uhuru, akiwahutubia wananchi, wakati wa hafla hii. Wa pili Kushoto ni skofu Mosses Kulola.
Wananchi wa Wilaya ya Ilala, wakishangilia wakati Mkuu wa wilaya hiyo, akikabidhi Mwenge wa Uhuru kwa Mkuu wa Wilaya ya Temeke, Sophia Mjema.
Kiongozi wa Kukimbiza Mwenge wa Uhuru Kitaifa, Juma Ali Simai, akisalimiana na Sophia Mjema.
Mkuu wa Wilaya ya Ilala, Raymond Mushi, akimkabidhi Mwenge wa Uhuru, Mkuu wa Wilaya ya Temeke, Sophia Mjema, Stesheni ya Tanzara, Dar es Salaam leo, wakati mwenge huo ulipokuwa ukianza safari yake ya kukimbizwa wilayani humo.
Mkuu wa Wilaya ya Ilala, Raymond Mushi, akimkabidhi Mwenge wa Uhuru Mkuu wa Wilaya ya Temeke, Sophia Mjema, Stesheni ya Tanzara, Dar es Salaam leo, wakati mwenge huo ulipokuwa ukianza safari yake ya kukimbizwa wilayani humo.
Wakimbiza Mwenge wa Uhuru, wakiwa na kiongozi wao, Juma Ali Simai (wa tatu kushoto) pamoja Mkuu wa Wilaya ya Temeke, Sophia Mjema (wa pili kulia), mara baada ya Wilaya ya Ilala kuukabidhi Mwenge wa Uhuru kwa wilaya hiyo leo, Stesheni ya Tanzara jijini Dar es Salaam.
Meya wa Manispaa ya Ilala, Jerry Silaa, akimweleza jambo Diwani wa Kata ya Upanga Mashariki, Sultan Salim, mara baada ya Mwenge wa Uhuru kukabidhiwa kwa Mkuu wa Wilaya ya Temeke, Sophia Mjema na kuanza kukimbizwa rasmi wilayani humo.
No comments:
Post a Comment