TANGAZO


Friday, September 20, 2013

Rais wa Zanzibar, Dk. Shein azindua Madrasa Hidaya-Tul Ilamiya Kidoti Unguja


Rais wa Zanzibar na Mwenyekliti wa Baraza la Mapinduzi, Dk. Ali Mohamed Shein, akikata utepe kuzindua Madrasa Hidayatul Islamiya katika  Kijiji cha Kidoti Wilaya  ya Kaskazini A, Unguja leo. Kulia ni Mkuu wa Mkoa wa Kaskazini Unguja, Pembe Juma Pembe.(Picha zote na Ramadhan Othman, Ikulu)
Rais wa Zanzibar na Mwenyekliti wa Baraza la Mapinduzi, Dk. Ali Mohamed Shein (katikati), akifuatana na Mkuu wa Ujenzi wa Madrasa Hidayatul Islamia, Salim Yussuf Mohamed (kushoto) na Mwalimu Mkuu wa madrasa hiyo, Makame Ali Juma (kulia) pamoja na Viongozi wengine wakati walipotembelea sehemu mbalimbali za madrasa hiyo, baada ya kuifungua rasmi leo.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekliti wa Baraza la Mapinduzi, Dk. Ali Mohamed Shein (kushoto), akipata maelezo kutoka kwa Mkuu wa Ujenzi wa Madrasa Hidayatul Islamia, Salim Yussuf Mohamed. 
Rais wa Zanzibar na Mwenyekliti wa Baraza la Mapinduzi, Dk. Ali Mohamed Shein, alipokuwa akizungumza na Wananchi pamoja na Wanafunzi wa madrasa Hidayatul Islamia ya Kidoti Wilaya ya Kaskazini A, Unguja.

No comments:

Post a Comment