TANGAZO


Friday, August 23, 2013

Rais Jakaya Kiwete akiwaapisha Makatibu Wakuu na Manaibu wapya wa Wizara mbalimbali Ikulu Dar es Salaam leo

3-- NKM Ole gabriel (kulia) akiapishwa na JKRais Jakaya Kikwete (kushoto) akimuapisha Naibu Katibu Mkuu Mpya wa Wizara ya Habari, Vijana , Utamaduni na Michezo, Profesa Elisante Ole Gabriel Laizer (kulia), leo katika hafla iliyofanyika Ikulu Dar es Salaam, (Picha zote na Mwanakomb Jumaa, Maelezo)do9Katibu Mkuu Mpya wa Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo, Sihaba Nkinga, akila kiapo, leo katika viwanja vya Ikulu jijini Dar es Salaam.5-jk akimuapisha mama shel-(kulia)Rais Jakaya Kikwete (kushoto), akimpongeza na kumkabidhi zana za kufanyia kazi  Naibu Katibu Mkuu mpya wa Wizara ya Ulinzi na Jeshi la kujenga Taifa, Rose Shellukindo.6- picha ya pamoja waziri wa habari na timu yake mpyaPicha ya pamoja ya Waziri wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo, Dk Fenella Mukangara (wapili kulia mstari wa mbele), Naibu Waziri wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Amos Makalla (kulia mstari wa mbele), Katibu Mkuu mpya wa Wizara hiyo, Sihaba Nkinga (mwenye mauawa), Naibu Katibu Mkuu mpya Profesa Elisante Ole Gabriel Laizer (wa kwanza kashoto mwenye miwani), pamoja na baadhi ya  wakurugenzi wasaidizi katika  wizara hiyo na baadhi ya  watendaji, wakuu wa wizara, wakati wa hafla hiyo.7- CDF Mwamunyange  na JK (kushoto) wakisalimianaRais Jakaya Kikwete (kushoto), akisalimiana na Mkuu wa Majeshi ya JWTZ, Jenerali Davis Mwamunyange (kulia) wakati wa sherehe za kuwaapisha Makatibu wakuu wapya pamoja na Manaibu Katibu wakuu wa Wizara mbalimbali leo katika viwanja vya Ikulu jijini Dar es Salaam.8-jk akimuapisha mama mwamunyange (kulia)Rais Jakaya Kikwete (kulia), akimuapisha Naibu Katibu Mkuu Mpya wa Wizara ya Uchukuzi, Monica Mwamunyange.9-picha ya pamojaPicha ya pamoja  akiwepo na Rais Jakaya Kikwete ( wa sita kutoka kulia mstari wa mbele) akifuatiwa na Makamu wa RaisDkt. Muhamaed Gharib Bilal.pamoja na Makatibu Wakuu wapya na Manaibu wake.

No comments:

Post a Comment