TANGAZO


Friday, August 23, 2013

Mbunge Zungu atembelea Shule ya Sokondari ya Mchikichini Dar es Salaam kukagua maendeleo ya Elimu na ujenzi wa Madarasa

Mwalimu Mkuu Msaidizi wa Shule ya Sekondari ya Mchikichini, Frida Christopher, akimweleza jambo Mbunge wa Jimbo la Ilala, Mussa Azzan Zungu, wakati alipotembelea shule hiyo. Katikati ni Mwenyekiti wa Bodi ya shule, Shadrack Luhwa. (Picha zote na Kassim Mbarouk-www.bayana.blogspot.com)
Mbunge wa Jimbo la Ilala, Mussa Azzan Zungu, akipatiwa maelezo na mmoja wa wanafunzi wa shule hiyo (kushoto), wakati alipotembelea shuleni hapo juzi.
Wanafunzi wakimshangilia Mbunge Zungu wakionesha kumuunga mkono kutokana na kukubaliana naye kwa ahadi aliyoahidi kufanya kwa shule hiyo, wakati akizungumza nao.
Mbunge Zungu akizungumza na wanafunzi wa shule hiyo, wakati wa ziara yake hiyo juzi.
Mbunge Zungu akisikiliza maoni ya wanafunzi hao, wakati alipokuwa akizungumza nao juzi katika ziara yake hiyo.
Mbunge Zungu akisalimiana na wanafunzi hao, wakati wa ziara yake hiyo, shuleni hapo juzi.
Mwenyekiti wa Bodi ya Shule hiyo, Shadrack Luhwa, akimweleza jambo kuhusu ujenzi wa madarasa kwenye kiwanja kilichowekwa msingi tayari kwa kujengwa.
Mwenyekiti wa Bodi ya Shule hiyo, Shadrack Luhwa, akimuonesha Mbunge Zungu, moja ya eneo la ujenzi wa madarasa katika shule hiyo.
Mbunge Zungu (kulia), akiwasikiliza viongozi wa Mtaaa wa Mchikichini pamoja na walimu wa shule hiyo, wakati wa ziara yake hiyo.
Mbunge Zungu (kushoto), akizungumza na viongozi wa Mtaaa wa Mchikichini pamoja na walimu wa shule hiyo, wakati wa ziara yake hiyo.
Mbunge Zungu (kushoto), akizungumza na waaandishi wa habari, wakati wa ziara yake hiyo.

No comments:

Post a Comment