TANGAZO


Friday, August 23, 2013

Mwenyekiti wa CCM, Jakaya Kiwete afungua mkutano wa Kamati Kuu ya Chama Mjini Dodoma


1
Mwenyekiti Chama Cha Mapinduzi (CCM), Rais Jakaya Kikwete akifungua Mkutano wa Kamati Kuu ya chama hicho, mjini Dodoma leo, Agosti 23, 2013. Kushoto ni Makamu Mwenyekiti Zanzibar, Dk. Ali Mohamed Shein na kulia ni Katibu Mkuu Abdulrahman Kinana. (Picha zote na Ofisi ya Waziri Mkuu) 
IMG_0235
Wajumbe wa Kamti Kuu ya CCM, Waziri  Mkuu, Mizengo Pinda na Dk. Asha Rose Migiro (kushoto), wakisalimiana kabla ya kufunguliwa kwa mkutano wa Kamati Kuu ya CCM mjini Doma leo, Agosti 23, 2013. 

No comments:

Post a Comment