TANGAZO

Tuesday, July 30, 2013

Waziri Mkuu wa Thailand, Bibi Yingluck Shinawatra awasili jijini Dar es Salaam nchini Tanzania kwa ziara ya Kiserikali

Wasanii wakitumbuiza wakati wa mapokezi ya Waziri Mkuu wa Thailand, Bibi Yingluck Shinawatra, Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere, Dar es Salaam leo. (Picha zote na Kassim Mbarouk-www.bayana.blogspot.com)
Ndege iliyomleta Waziri Mkuu wa Thailand, Bibi Yingluck Shinawatra ikiwa imeshatua kwenye Uwanja wa Kimataifa wa Julius Nyerere jijini leo.
Rais Jakaya Kikwete akiwa na Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, wakiwasili Uwanjani hapo kwa ajili ya kumpokea mgeni wake huyo,Waziri Mkuu wa Thailand, Bibi Yingluck Shinawatra. 
Ndege hiyo, ikisogea katika sehemu ya kushukia mgeni huyo.
Ndege iliyomleta Waziri Mkuu wa Thailand, Bibi Yingluck Shinawatra ikisogea karibu kabisa ya sehemu iliyoandaliwa kwa ajili ya mapokezi rasmi uwanjani hapo leo.
Baadhi ya waandishi wa habari na Maofisa aliofuatana nao, wakishuka kwnye ndege hiyo.
Waziri Mkuu wa Thailand, Bibi Yingluck Shinawatra, akishuka kwenye ndege iliyomleta.
Waziri Mkuu wa Thailand, Bibi Yingluck Shinawatra, akisalimiana na mwenyeji wake, Rais Jakaya Kikwete pamoja na viongozi mbalimbali waliofika kumpokea uwanjani hapo leo.
Rais Jakaya Kikwete, akiwa na mgeni wake, Waziri Mkuu wa Thailand, Bibi Yingluck Shinawatra (katikati), wakati alipowasili Uwanja wa Ndege wa Julius Nyerere, Dar es Salaam leo.
Rais Jakaya Kikwete, akiwa na mgeni wake, Waziri Mkuu wa Thailand, Bibi Yingluck Shinawatra (katikati), wakati alipowasili Uwanja wa Ndege wa Julius Nyerere, Dar es Salaam leo.
Rais Jakaya Kikwete, akimtambulisha mgeni wake, Waziri Mkuu wa Thailand, Bibi Yingluck Shinawatra kwa Maofisa wa Jeshi la Ulinzi na Usalama.
Rais Jakaya Kikwete, akiwa na mgeni wake, Waziri Mkuu wa Thailand, Bibi Yingluck Shinawatra (kulia kwake), akimtambulisha na kusalimiana na baadhi ya viongozi Uwanja wa Ndege wa Julius Nyerere, Dar es Salaam leo.
Rais Jakaya Kikwete, akimtambulisha mgeni wake, Waziri Mkuu wa Thailand, Bibi Yingluck Shinawatra kwa baadhi ya wafanyabiashara na viongozi wa taasisi mbalimbali waliofika uwanjani hapo.
Rais Jakaya Kikwete, akisalimiana na baadhi ya viongozi  waliofuatana na Waziri Mkuu wa Thailand, Bibi Yingluck Shinawatra (kulia), uwanjani hapo.
Rais Jakaya Kikwete, akisalimiana na baadhi ya viongozi  waliofuatana na Waziri Mkuu wa Thailand, Bibi Yingluck Shinawatra (kulia), uwanjani hapo.
Waziri Mkuu wa Thailand, Bibi Yingluck Shinawatra akikagua gwaride lililoandaliwa kwa ajili yake, akiongozwa na Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi, Jenerali Davies Mwamunyange (kushoto), uwanjani hapo.
Waziri Mkuu wa Thailand, Bibi Yingluck Shinawatra akikagua gwaride lililoandaliwa kwa ajili yake, akiongozwa na Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi, Jenerali Davies Mwamunyange (kulia), uwanjani hapo.
Waziri Mkuu wa Thailand, Bibi Yingluck Shinawatra akikagua gwaride lililoandaliwa kwa ajili yake, akiongozwa na Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi, Jenerali Davies Mwamunyange (kulia), uwanjani hapo.
Rais Jakaya Kikwete, akiwa na mgeni wake, Waziri Mkuu wa Thailand, Bibi Yingluck Shinawatra, wakipokea heshima kutoka kwa vikosi vya Jeshi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ), wakati alipowasili Uwanja wa Ndege wa Julius Nyerere, Dar es Salaam leo.

Rais Jakaya Kikwete, akiwa na mgeni wake, Waziri Mkuu wa Thailand, Bibi Yingluck Shinawatra, wakiangalia vikundi vya ngoma vilivyokuwa vikitumbuiza uwanjani hapo.

Rais Jakaya Kikwete, akiwa na mgeni wake, Waziri Mkuu wa Thailand, Bibi Yingluck Shinawatra, wakianza kuondoka uwanjani hapo. 
Wananchi waliokuwa wakimpokea Waziri Mkuu wa Thailand, Bibi Yingluck Shinawatra, wakipeperusha bendera za Tanzania na nchi hiyo pamoja na kikundi cha matarumbeta kilichokuwa kikitumbuiza uwanjani hapo.

No comments:

Post a Comment