TANGAZO


Tuesday, July 16, 2013

Waziri Fenella akutana na Mtendaji Mkuu wa Standard Chartered Bank Tanzania


Waziri wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Dk. Fenelle Mukangara (kushoto), akizungumza na Afisa Mtendaji Mkuu wa Benki ya Standard Chartered Tanzania Bibi Liz Lloyd alipomtembelea ofisini kwake leo, jijini Dar es Salaam. Katika mazungumzo yao walijikita katika kuangalia namna ambavyo benki ya Standard Charterd Tanzania inaweza kushirikiana na Serikali kuwawezesha Vijana kukabiliana na changamoto za maisha.
Waziri wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo, Dk. Fenelle Mukangara (kushoto), akiagana na Afisa Mtendaji Mkuu wa Benki ya Standard Chartered Tanzania Bibi Liz Lloyd alipomtembelea afisini kwake leo jijini Dar es Salaam kuzungumzia kuhusu benki uwezeshaji wa Vijana kupitia Standard Chartered Bank Tanzania Limited.
Waziri wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Dk. Fenelle Mukangara (kushoto), akizungumza na Afisa Mtendaji Mkuu wa Benki ya Standard Chartered Tanzania Bibi Liz Lloyd alipomtembelea ofisini kwake leo, jijini Dar es Salaam. Katika mazungumzo yao walijikita katika kuangalia namna ambavyo benki ya Standard Charterd Tanzania inaweza kushirikiana na Serikali kuwawezesha Vijana kukabiliana na changamoto za maisha.  (Picha zote na Frank Shija) 

No comments:

Post a Comment