Waziri wa Fedha, Dk. William Mgimwa na Mwenyekiti na Rais wa Benki ya Export Import ya Korea, wakiangalia mikataba ya mkopo baada ya kusaini kwa ajili ya kujenga vituo vya kuhifadhi vitambulisho vya Taifa leo, jijini Dar es Salaam.
Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Fedha, Elizabeth Nyambibo (kushoto), Naibu Katibu Mkuu wa Mambo ya Ndani, Mbaraka Abdulwakil (katikati) na Naibu Waziri wa Fedha, Saada Salum Mkuya, wakifuatilia hafla ya kusaini mkataba wa mkopo kwa ajili ya kujenga vituo vya kuhifadhia vitambulisho vya Taifa uliotolewa na Benki ya Export and Import Korea leo, jijini Dar Es Salaam.
Waziri wa Fedha, Dk.William Mgimwa (kushoto), akiwa na Mwenyekiti na Rais wa Benki ya Export Import ya Korea wakionyesha mkataba wa mkopo wenye thamani ya shilingi billioni 87 za Kitanzania, waliosaini kwa ajili ya kujenga vituo vya kuhifadhi vitambulisho vya Taifa leo, jijini Dar es Salaam.
Waziri wa Fedha, Dk.William Mgimwa (kushoto), akimpa mkono wa shukrani Mwenyekiti na Rais wa Benki ya Export Import ya Korea, wakati wakibadilishana hati za mkopo baada ya kusaini kwa ajili ya kujenga vituo vya kuhifadhi vitambulisho vya Taifa leo, jijini Dar es Salaam.
Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa, Dickson Maimu (wa tatu kushoto) na Mwenyekiti na Rais wa Benki ya Export and Import ya Korea, Yong Hwan Kim (wa pili kulia), wakiwa katika picha ya pamoja na baadhi ya wafanyakazi wa mamlaka hiyo, mara baada ya halfa ya kusaini mkataba wa mkopo kwa ajili ya kujenga vituo vya kuhifadhia vitambulisho vya Taifa leo, jijini Dar es Salaam.
Waziri wa Fedha, Dk. William Mgimwa (wa pili kushoto), Balozi wa Korea nchini, Chung Il (wa kwanza kulia), Mwenyekiti na Raisi wa Benki ya Export and Import ya Korea Yong Hwan Kim (wa pili kulia) na Naibu Waziri wa Fedha (Sera), Saada Mkuya Salum (kushoto), wakiwa katika picha ya pamoja baada ya hafla ya kusaini mkataba wa mkopo wa kujenga vituo vya kuhifadhi vitambulisho vya Taifa kutoka Benki ya Export and Import ya Korea.
Waziri wa Fedha, Dk. William Mgimwa na Mwenyekiti na Rais wa Benki ya Export Import ya Korea, wakisaini mkataba wa mkopo kwa ajili ya kujenga vituo vya kuhifadhi vitambulisho vya Taifa leo, jijini Dar es Salaam.
Waziri wa Fedha, Dk.William Mgimwa akitoa neno la shukrani kwa niaba ya Serikali ya Tanzania kwa Mwenyekiti na Rais wa Benki ya Export Import ya Korea, baada ya kusaini mkataba wa mkopo kwa ajili ya kujenga vituo vya kuhifadhi vitambulisho vya Taifa leo, jijini Dar es Salaam.
Waziri wa Fedha, Dk.William Mgimwa akitoa neno la shukrani kwa niaba ya Serikali ya Tanzania kwa Mwenyekiti na Rais wa Benki ya Export Import ya Korea, baada ya kusaini mkataba wa mkopo kwa ajili ya kujenga vituo vya kuhifadhi vitambulisho vya Taifa leo, jijini Dar es Salaam.
No comments:
Post a Comment