TANGAZO


Thursday, July 11, 2013

Makamu wa Rais, Dk. Gharib Bilal ahani msiba wa Mganga Mkuu wa Jiji, Dk. Judith Kahama

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. Mohammed Gharib Bilal, akisaini kwenye kitabu cha maombolezo ya msiba wa aliyekuwa Mganga Mkuu wa Jiji, marehemu Dk. Judith Kahama, wakati alipofika kuhani msiba huo, nyumbani kwa marehemu, Upanga jijini Dar es salaam leo, Julai 11, 2013. (Picha zote na OMR)
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano w a Tanzania, Dk. Mohammed Gharib Bilal, akiwafariji baadhi ya ndugu wa marehemu Dk. Judith Kahama, wakati alipofika kuhani msiba huo, nyumbani kwa marehemu Upanga jijini Dar es Salaam leo, Julai 11, 2013.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. Mohammed Gharib Bilal, akitoa heshima za mwisho mbele ya jeneza lenye mwili wa aliyekuwa Mganga Mkuu wa Jiji, marehemu, Dk. Judith Kahama, wakati alipofika kuhani msiba huo, nyumbani kwa marehemu, Upanga jijini Dar es Salaam leo, Julai 11, 2013. 
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. Mohammed Gharib Bilal, akizungumza na Sir George Kahama wakati alipofika nyumbani kwa aliyekuwa Mganga Mkuu wa Jiji, marehemu Dk. Judith Kahama, Upanga jijini Dar es Salaam leo, Julai 11, 2013. 

No comments:

Post a Comment