TANGAZO


Thursday, June 20, 2013

Vijana wa Yombo Kata ya Kiwalani, wapata mafunzo ya Ujasiriamali

Afisa Vijana kutoka Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo, Noela Tarimo akisisitiza jambo alipokua akitoa Mafunzo ya Ujasiliamali kwa Vijana wa Mtaa wa Yombo, Kata ya Kiwalani leo jijini Dar es Salaam.
Afisa Vijana kutoka Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo, Noela Tarimo akisisitiza jambo alipokua akitoa Mafunzo ya Ujasiliamali kwa Vijana wa Mtaa wa Yombo Kata ya Kiwalani leo jijini Dar es Salaam.
Afisa Vijana wa Halmashauri ya Manispaa ya Ilala, Immaculata Bachubire akiwafundisha Vijana wa Kiwalani (hawapo pichani), kuhusiana na Ujasiliamali na jinsi ya kukabiliana na changamoto katika Ujasiliamali wakati wa Mafunzo ya Ujasiliamali kwa Vijana yaliyofanyika Kata ya Kiwalani leo, jijini Dar es Salaam.
Afisa Vijana wa Halmashauri ya Manispaa ya Ilala Bibi Immaculata Bachubire akiwafundisha Vijana wa Kiwalani (hawapo pichani) kuhusiana na Ujasiliamali na jinsi ya kukabiliana na changamoto katika Ujasiliamali wakati wa Mafunzo ya Ujasiliamali kwa Vijana yaliyofanyika Kata ya Kiwalani leo, jijini Dar es Salaam.
Afisa Vijana kutoka Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo, Godfrey Nyaisa akifafanua kuhusiana na jinsi mjasiliamali anavyopaswa kuiheshimu biashara yake wakati wa Mafunzo ya Ujasiliamali kwa Vijana yaliyofanyika Kata ya Kiwalani leo, jijini Dar es Salaam.
Afisa Vijana kutoka Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo, Ernest Matara akiwaongoza wana mafunzo hawapo pichani jinsi ya kufafanua na kuandika taarifa za biashara ili kuweza kujua maendeleo ya biashara zao wakati wa Mafunzo ya Ujasiliamali kwa Vijana yaliyofanyika Kata ya Kiwalani leo, jijini Dar es Salaam. 
Baadhi ya wanamafunzo ambao pia ni wajasiliamali wadogowadogo kutoka Kata ya Kiwalani wakifatilia kwa makini Mafunzo yaliyokuwa yakitolewa na Maafisa Vijana kuhusu Ujasiliamali kwa Vijana yaliyofanyika Mtaa wa Yombo Kata ya Kiwalani leo, jijini Dar es Salaam. (Picha zote na Genofeva Matemu - MAELEZO)

No comments:

Post a Comment