TANGAZO


Friday, June 28, 2013

Rais Kikwete amuandalia Rais wa Sri Lanka, Rajapaksa dhifa ya Kitaifa na ujumbe wake, mikataba ya ushirikiano wa Kitalii, Mambo ya Nje na Usalama yasainiwa

Rais Jakaya Kikwete, akimlaki mgeni wake, Rais wa Sri Lanka, Mahinda Rajapaksa (kushoto), mara baada ya kuwasili Ikulu jana jioni kwa dhifa ya Kitafa, kujadili masuala mbalimbali ya ushirikiano na pia kusaini mikataba hiyo. (Picha zote na Kassim Mbarouk-www.bayana.blogspot.com)
Rais Jakaya Kikwete, akisalimiana na kumkaribisha mgeni wake, Rais wa Sri Lanka, Mahinda Rajapaksa (kushoto), mara baada ya kuwasili Ikulu jana jioni kwa dhifa ya Kitafa, kujadili masuala mbalimbali ya ushirikiano na pia kusaini mikataba hiyo. 
Rais Jakaya Kikwete, akimkaribisha mgeni wake, Rais wa Sri Lanka, Mahinda Rajapaksa (kushoto), mara baada ya kuwasili Ikulu jana jioni kwa dhifa ya Kitafa, kujadili masuala mbalimbali ya ushirikiano na pia kusaini mikataba hiyo. 
Rais Jakaya Kikwete, akimkaribisha kwa mazungumzo mgeni wake, Rais wa Sri Lanka, Mahinda Rajapaksa (kushoto), mara baada ya kuwasili Ikulu jana jioni kwa dhifa ya Kitafa, kujadili masuala mbalimbali ya ushirikiano na pia kusaini mikataba hiyo. 


Rais Jakaya Kikwete (wa pili kulia), akiuongoza ujumbe wa Tanzania katika mazungumza na majadiliano kati ya Serikali yake na Serikali ya Sri Lanka chini ya uongozi wa Rais wake, Mahinda Rajapaksa, Ikulu jijini Dar es Salaam jana jioni.


Rais wa Sri Lanka, Mahinda Rajapaksa (wa pili kushoto), akiuongoza ujumbe wake katika kikao cha mazungumzo ya majadiliano ya kiushirikiano na Serikali ya Tanzania chini ya uongozi wa mwenyeji wake, Rais Jakaya Kikwete, Ikulu Dar es Salaam jana jioni.


Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Bernard Membe (kulia) na Waziri wa Mambo ya Nje wa Sri Lanka, Profesa G. L Pairis (kushoto), wakisaini moja ya mikataba iliyofikiwa kati ya Tanzania na nchi hiyo, Ikulu Dar es Salaam katika hafla hiyo jana jioni.
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Bernard Membe (kulia) na Waziri wa Mambo ya Nje wa Sri Lanka, Profesa G. L Pairis (kushoto), wakibadilishana mikataba hyo mara baada ya kuisaini kati ya Tanzania na nchi hiyo, Ikulu Dar es Salaam katika hafla hiyo jana jioni.
Waziri wa Maliasili na Utalii, Balozi Hamis Kagasheki (kulia) na Waziri wa Mambo ya Nje wa Sri Lanka, Profesa G. L Pairis (kushoto), wakisaini moja ya mikataba iliyofikiwa kati ya Tanzania na nchi hiyo, Ikulu Dar es Salaam jana jioni.


Waziri wa Maliasili na Utalii, Balozi Hamis Kagasheki (kulia) na Waziri wa Mambo ya Nje wa Sri Lanka, Profesa G. L Pairis (kushoto), wakibadilishana mikataba waliyoisani baada ya kuafikiwa na Serikali zao katika majadiliano yaliyofanyika, Ikulu jijini Dar es Salaam jana jioni.
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Bernard Membe (kulia), akizungumza na waandishi wa habari, mara baada ya kusaini mikataba kati ya Serikali ya Tanzania na Sri Lanka, Ikulu jijini Dar es Salaam jana jioni.
 Rais wa Sri Lanka, Mahinda Rajapaksa (kulia), akiangalia zawadi ya kinyago, aliyopewa na mwenyeji wake, Rais Jakaya Kikwete, Ikulu Dar es Salaam jana jioni wakati alipomwandalia dhifa ya Kitaifa na ujumbe wake.



Ujumbe wa Tanzania na wa Sri Lanka wakiwa katika hafla ya dhifa ya Kitaifa, iliyoandaliwa na Rais Jakaya Kikwete kwa mgeni wake, Rais Mahinda Rajapaksa jana jioni, Ikulu jijini Dar es Salaam.
Rais wa Sri Lanka, Mahinda Rajapaksa (kulia), akiwa na mwenyeji wake, Rais Jakaya Kikwete, akiangalia simba aliyekaushwa, Ikulu Dar es Salaam jana jioni, wakati alipomwandalia dhifa ya Kitaifa na ujumbe wake.

No comments:

Post a Comment