TANGAZO


Wednesday, May 22, 2013

Washindi wa wiki ya pili ya Promosheni ya Kwangua Ushinde na Zantel wakabidhiwa zawadi zao


Mkurugenzi wa Biashara wa Zantel visiwani Zanzibar, Mohamed Mussa akiwa na pikipiki aliyomkabidhi mshindi wa wiki ya pili ya promosheni ya 'Kwangua na Ushinde', Khadija Ali Haji, mkazi wa Donge kisiwani Unguja jana. (Picha zote na mpigapicha wetu)

Mkurugenzi wa Biashara wa Zantel, Zanzibar, Mohamed Mussa akiwa na pikipiki aliyomkabidhi mshindi wa wiki ya pili ya promosheni ya 'Kwangua na Ushinde', Khadija Ali Haji, mkazi wa Donge, kisiwani Unguja.

Mkurugenzi wa Biashara wa Zantel, Zanzibar, Mohamed Mussa (kulia), akikabidhi Hussein Mtumwa Hussein, zawadi yake ya modemu ya 3G, aliyoshinda katika promosheni ya ‘Kwangua na Ushinde’.


Mkurugenzi wa Biashara wa Zantel, Zanzibar, Mohamed Mussa akiwa katika picha ya pamoja na washindi wa wiki ya pili ya promosheni ya ‘Kwangua na Ushinde’ inayoendelea kwa wateja wa Zanzibar jana.

No comments:

Post a Comment