Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. Mohammed Gharib Bilal, akisoma hotuba yake ya ufunguzi wa Maonyesho ya Nane ya Kamisheni ya Vyuo Vikuu, yanayoshirikisha vyuo mbalimbali vya ndani na nje ya nchi, yanayofanyika kwa siku tatu, ukumbi wa Diamond Jubilee, jijini Dar es Salaam. Maonyesho hayo, yamefunguliwa leo Mei 22, 2013. (Picha zote na OMR)
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. Mohammed Gharib Bilal, akisoma hotuba yake ya ufunguzi wa Maonyesho ya Nane ya Kamisheni ya Vyuo Vikuu, yanayoshirikisha vyuo mbalimbali vya ndani na nje ya nchi, yanayofanyika kwa siku tatu, ukumbi wa Diamond Jubilee, jijini Dar es Salaam. Maonyesho hayo, yamefunguliwa leo Mei 22, 2013.
Baadhi ya washiriki wa maonyesho ya Nane ya Kamisheni ya Vyuo Vikuu, yanayoshirikisha vyuo vikuu mbalimbali vya ndani na nje ya nchi, wakimsikiliza Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. Mohammed Gharib Bilal, wakati akisoma hotuba yake ya kufungua rasmi maonyesho hayo ya siku tatu, ukumbi wa Diamond Jubilee, jijini Dar es Salaam.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. Mohammed Gharib Bilal, akizungumza na Maofisa wa Mfuko wa PPF. Kutoka kushoto ni Meneja wa Kanda ya Ilala, Evans Musiba, Meneja Uhusiano, Lulu Mengele na Ofisa Masoko, Sereki Michael, wakati alipotembelea katika banda la maonyesho la PPF, leo, Mei 22, 2013 kwenye maonyesho ya Nane ya Kamisheni ya Vyuo Vikuu, yanayoshirikisha vyuo vikuu mbalimbali vya ndani na nje ya nchi, yanayofanyika katika Ukumbi wa Diamond Jubilee, jijini Dar es Salaam.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. Mohammed Gharib Bilal, akisikiliza maelezo kutoka kwa Mhitimu wa Chuo Kikuu cha Makerere, Africa Junior, kuhusu Kituo cha Utafiti wa Usafirishaji, wakati alipotembelea kwenye banda la Chuo Kikuu cha Makerere kwenye maonyesho ya Nane ya Kamisheni ya Vyuo Vikuu, yanayoshirikisha vyuo vikuu mbalimbali vya ndani na nje ya nchi, yanayofanyika kwa siku tatu ukumbi wa Diamond Jubilee, jijini Dar es Salaam.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. Mohammed Gharib Bilal, akisikiliza maelezo kutoka kwa, Ofisa Udahili Mwandamizi wa Tume ya Vyuo Vikuu Tanzania, Hilder Kawiche, wakati alipotembelea Banda hilo, kwenye maonyesho ya Nane ya Kamisheni ya Vyuo Vikuu, yanayoshirikisha vyuo vikuu mbalimbali vya ndani na nje ya nchi, yanayofanyika kwa siku tatu ukumbi wa Diamond Jubilee, jijini Dar es Salaam.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. Mohammed Gharib Bilal, akisikiliza maelezo kutoka kwa Makamu Mwenyekiti wa Chuo Kikuu cha United African-Tanzania, Jo Do Hyun kuhusu matumizi ya gari ndogo inayotumia Chaji ya umeme wakati alipotembelea katika Banda hilo, kwenye maonyesho ya Nane ya Kamisheni ya Vyuo Vikuu, yanayoshirikisha vyuo vikuu mbalimbali vya ndani na nje ya nchi, yanayofanyika ukumbi wa Diamond Jubilee, jijini Dar es Salaam.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. Mohammed Gharib Bilal, akizungumza na Sakina Taki (kushoto), na Tannaz Naseri, kutoka 'University of the Future' , Kuala Lumpur, Malaysia, wakati alipotembelea banda hilo kwenye maonyesho ya Nane ya Kamisheni ya Vyuo Vikuu, yanayoshirikisha vyuo vikuu mbalimbali vya ndani na nje ya nchi, ukumbi wa Diamond Jubilee, jijini Dar es Salaam.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. Mohammed Gharib Bilal, akisikiliza maelezo kutoka kwa Msimamizi Mkuu wa Teknolojia wa Chuo Kikuu cha SUA, Gaudencia Donati, wakati alipotembelea banda hilo, kwenye maonyesho ya Nane ya Kamisheni ya Vyuo Vikuu, yanayoshirikisha vyuo vikuu mbalimbali vya ndani na nje ya nchi, ukumbi wa Diamond Jubilee, jijini Dar es Salaam.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. Mohammed Gharib Bilal, akitembelea katika mabanda ya maonyesho ya Nane ya Kamisheni ya Vyuo Vikuu, yanayoshirikisha vyuo vikuu mbalimbali vya ndani na nje ya nchi, ukumbi wa Diamond Jubilee, jijini Dar es Salaam leo, Mei 22, 2013.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. Mohammed Gharib Bilal, akiwa katika picha ya pamoja na baadhi ya washiriki wa maonyesho hayo, mara baada ya kuyafungua, Diamond Jubilee, jijini Dar es Salaam leo.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. Mohammed Gharib Bilal, akiwa katika picha ya pamoja na baadhi ya washiriki wa maonyesho hayo.













No comments:
Post a Comment