Meneja Mkazi nchini Tanzania wa Kampuni ya Mawasiliano ya 'Smile Communications', Fiona Mc Gloin, akiwaeleza jambo wanafunzi Martin Cosmas (kushoto) na Fredy Charles (kulia) wa Shule ya Sekondari ya Azania, wakati alipotembelea shuleni hapo, kujionea utendaji kazi wa kifaa cha 4G cha mtandao (internet) kilichofungwa na kampuni hiyo kwa ajili ya kusaidia mawasiliano ya shule hiyo, kinavyofanya kazi.
Meneja Mkazi nchini Tanzania wa Kampuni ya Mawasiliano ya 'Smile Communications', Fiona Mc Gloin, akiwaeleza jambo wanafunzi Martin Cosmas (kushoto) na Fredy Charles (kulia) wa Shule ya Sekondari ya Azania, wakati alipotembelea shuleni hapo, kujionea utendaji kazi wa kifaa cha 4G cha mtandao (internet), kilichofungwa na kampuni hiyo kwa ajili ya kusaidia mawasiliano ya shule hiyo, kinavyofanya kazi. Kutoka kulia ni Mkuu wa Idara ya Teknohama, Steven Petro, Mkuu wa Shule ya Azania, Benard Simon na Mwalimu wa Teknohama, Gao Kika.

Mkuu wa Shule ya Azania, Benard Simon, akimuonesha jambo, Meneja Mkazi nchini Tanzania wa Kampuni ya Mawasiliano ya 'Smile Communications', Fiona Mc Gloin (kushoto), wakati alipofika shuleni hapo kuangalia utendaji kazi wa kifaa cha 4G cha mtandao (internet), kilichofungwa na kampuni hiyo kwa ajili ya kusaidia mawasiliano ya shule hiyo. Kutoka kulia ni Mwalimu wa Teknohama, Gao Kika na Mkuu wa Idara ya Teknohama, Steven Petro.
Meneja Mkazi nchini Tanzania wa Kampuni ya Mawasiliano ya 'Smile Communications', Fiona Mc Gloin, akielezea jambo, wakati alipofika Shule ya Sekondari ya Azania, Dar es Salaam leo, kuangalia utendaji kazi wa kifaa cha 4G cha mtandao (internet), kilichofungwa na kampuni hiyo kwa ajili ya kusaidia mawasiliano ya shule hiyo.
Meneja Mkazi nchini Tanzania wa Kampuni ya Mawasiliano ya 'Smile Communications', Fiona Mc Gloin, akielezea jambo, wakati alipofika Shule ya Sekondari ya Azania, Dar es Salaam leo, kuangalia utendaji kazi wa kifaa cha 4G cha mtandao (internet), kilichofungwa na kampuni hiyo kwa ajili ya kusaidia mawasiliano ya shule hiyo. Kulia ni Mkuu wa Shule ya Azania, Benard Simon na wa nne ni Mkuu wa Masoko wa kampuni hiyo, Muffadal Essaji.

No comments:
Post a Comment