Dewji, Zitto na Dk. Dau wakijadili jambo kwenye hafla hiyo
Wachezaji wa Taifa Stars
Manoti hayooooooooo
Nahodha wa Taifa Stars Juma Kaseja akifurahi jambo na wajumbe wa kamati hiyo
Mrisho Ngassa akitambulishwa kwa wanakamati kwamba hivi sasa anachezea Yanga.
Kocha wa Taifa Stars akifurahia jambo na wanakamati baada ya kutetta
Kocha wa Taifa Stars Kim Poulsen akiteta jambo na wanakamati
Wachezaji wakipata mlo katika hotel ya Tansoma walikoweka kambi.
| Dewji akizungumza katika hafla hiyo kwa kuwahamasisha wachezaji kushinda mechi zote watakazokabiliana nazo |
| Kaseja akitoa shukurani na kuahidi ushindi |
| Wachezaji wakisalimiana na wajumbe wa kamati |
| Viongozi wa Taifa Stars wakisalimiana na wanakamati |

No comments:
Post a Comment