TANGAZO


Sunday, April 14, 2013

Kinana aanza ziara ya kikazi mkoani Morogoro



Katibu Mkuu wa CCM,Abdulrahman Kinana akisalimiana na  Katibu wa NEC, Oganaizesheni, Mohamed Seif Khatib alipowasili leo, eneo la Nane Nane, mjini Morogoro kuanza ziara ya kikazi ya siku nane katika Wilaya zote za Mkoa huo.
Kinana akihutubia baada ya kufika eneo la Nane Nane ambapo alipokelewa na wafuasi wa chama hicho

 Waendesha bodaboda wakiongoza msafara wa viongozi wa CCM ulipowasili leo mjini Morogoro


 Mmoja wa wafuasi wa CCM akishangilia huku akiwa amepakiwa kwenye pikipiki zizloongoza msafara huo. (Picha zote na Richard Mwaikenda)

No comments:

Post a Comment