TANGAZO


Tuesday, January 1, 2013

Waziri Said Ali Mbarouk, aongoza Bonanza la Nne la Vikundi vya Michezo, Uwanja wa Aman, mjini Zanzibar

Waziri wa Habari, Utamaduni, Utalii na Michezo, Said Ali Mbarouk (watatu kulia), akiongoza vikundi mbalimbali vya mazoezi  katika Bonanza la Nne kuelekea Uwanja wa Aman Mjini Zanzibar. Kulia kwake ni Waziri wa Biashara Viwanda na Masoko, Nassor Ahmed Mazrui.

Kikundi cha Mazoezi cha Mandela cha Fuoni, kikiwa katika matembezi ya jogging kikielekea Uwanja wa Amani, Mjini Zanzibar katika mazoezi ya Bonanza la Nne la vikundi vya Mazoezi kisiwani Unguja.

Kikundi cha Kizimkazi, kikiwa katika matembezi ya jogging kikielekea Uwanja wa Amani, Mjini Zanzibar katika mazoezi ya Bonanza la Nne la vikundi vya Mazoezi kisiwani Unguja.

Vikundi vya Mazoezivilivyo shiriki katika Bonanza la Nne la Vikundi vya Mazoezi vikiingia ndani ya Uwanja wa Amani, Mjini Zanzibar.

Waziri wa Habari, Utamaduni, Utalii na Michezo, Said Ali Mbarouk akipokea vikundi mbalimbali vilivyo shiriki katika Bonanza la Nne la vikundi vya Mazoezi Zanzibar.

Vikundi mbalimbali vya Mazoezi, vilivyo shiriki katika Bonanza la Nne la vikundi vya Mazoezi vikifanya mazoezi ya viungo, ndani ya Uwanja wa Amani, Mjini Zanzibar.

Waziri wa Habari, Utamaduni, Utalii na Michezo, Said Ali Mbarouk akitoa hotuba ya kuwapongeza wanavikundi na kuwapa hongera ya Mwaka mpya, baada ya kushiriki katika Bonanza la Nne la vikundi vya Mazoezi Zanzibar.

Waziri wa Habari, Utamaduni, Utalii na Michezo, Said Ali Mbarouk akitoa hotuba ya kuwapongeza wanavikundi na kuwapa hongera ya Mwaka mpya, baada ya  kushiriki katika Bonanza la Nne la vikundi vya Mazoezi Zanzibar. Kushoto ni baadhi ya viongozi, Wabunge na Wawakilishi.


Waziri wa Habari, Utamaduni, Utalii na Michezo, Said Ali Mbarouk, akitoa zawadi kwa vikundi mbalimbali vilivyo shiriki katika Bonanza la Nne la vikundi vya Mazoezi, Uwanja wa Amani, mjini Zanzibar. (Picha zote na Yussuf Simai - Maelezo Zanzibar)

No comments:

Post a Comment