TANGAZO


Tuesday, January 1, 2013

Chama cha Wakulima Tanzania (AFP) chawatakia Watanzania Kheri ya Mwaka Mpya 2013


CHAMA CHA WAKULIMA TANZANIA (AFP)




  
KHERI YA MWAKA MPYA 1/1/2013 

Tunawatakia kheri ya mwaka mpya Wanzazibar na Watanzania wote pamoja na Waafrika na Duniani kote uwe ni Mwaka wa Mafanikio na Maendeleo kwa jamii na wanajamii wote ulimwenguni.kama vile Wanawake na watoto, wazee wasiojiweza , walemavu , pamoja na wagonjwa wote tukiwaombea wapone haraka ili waungane na jamii kwa Maendeleo ya Taifa Kheri ya Mwaka mpya kwa upande wa Zanzibar tunawaomba Wadumishe Amani na Utulivu na Upendo kwa dhana ile ile mkubwa kumuheshimu mdogo na mdogo kumueshimu mkubwa. Sambamba na kufuata Sheria , Katiba na Haki za Binaadamu kwa mujibu wa Sheria ili kulipeleka Taifa letu mbele kwa maendeleo ukizingatia Mendeleo ya kweli yanapatika katika utawala wa sheria ambao kwa sasa Watanzania wote wanafuata utwala wa sheria na watu wote wako chini ya sheria na hakuna walokuwa juu ya sheria kwa mujibu wa sheria.

Ahsante

KHERI YA MWAKA MPYA 2013
RASHID YUSSUF MCHENGA
MKURUGENZI MIPANGO NA UENDESHAJI SERA AFP
TEL NO 0773 560243     0715 560243

No comments:

Post a Comment