TANGAZO


Tuesday, January 1, 2013

Rais Kikwete awaongoza wanakijiji wenzake wa Msoga kuukaribisha Mwaka mpya wa 2013

Rais Jakaya Mrisho Kikwete na mkewe, mama Salma Kikwete (katikati), wakichanganyika na wanakijiji wenzao wa kijijiji cha Msoga, wilayani Bagamoyo, Mkoa wa Pwani, kuukaribisha mwaka mpya kwa fashifashi na ngoma za utamaduni, usiku wa kuamkia leo.

Rais Jakaya Mrisho Kikwete na mkewe, mama Salma Kikwete (katikati), wakiwa na wanakijiji wenzao wa kijiji cha  Msoga, wilayani Bagamoyo, Mkoa wa Pwani, wakati wa kuukaribisha mwaka mpya kwa fashifashi na ngoma za utamaduni.

Rais Jakaya Mrisho Kikwete, akimtambulisha kaka yake, Mzee Selemani Kikwete kwa  wanakijiji wenzake  wa kijiji cha Msoga, wilayani Bagamoyo, Mkoa wa Pwani, wakati wa sherehe za  kuukaribisha mwaka mpya kwa fashifashi na ngoma za utamaduni.

Rais Jakaya Mrisho Kikwete na mkewe, mama Salma Kikwete, wakipeana mkono wa heri na wanakijiji wenzao wa kijiji cha Msoga, wilayani Bagamoyo, Mkoa wa Pwani, wakati wa kuukaribisha mwaka mpya kwa fashifashi na ngoma za kienyeji.

Wanakiji wa Msoga, wilayani Bagamoyo, Mkoa wa Pwani wakiangalia fashifashi wakati wa sherehe za kuukaribisha mwaka mpya kijijini hapo(Picha zote na Ikulu)

No comments:

Post a Comment