Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na Wafanyabiashara wa Mtwara kuhusu mgogoro wa gesi kwenye ukumbi wa VETA, mjini Mtwara, Januari 28, 2013. Kulia kwake ni Mkuu wa Mkoa wa Mtwara, Joseph Simbakalia.
Baadhi ya Wafanya biashara wa Mtwara wakinyosha mikono kuomba nafasi ya kuchangia katika mazungumzo kati yao na Waziri Mkuu, Mizengo Pinda kuhusu mgogoro wa gesi
kwenye ukumbi wa VETA mjini Mtwara, Januari 28, 2013.
No comments:
Post a Comment