Meneja wa Kinywaji cha Guinness, Davis Kambi, akizungumza na washindi hao, baada ya kuwakabidhi tiketi zao za kwenda nchini Afrika Kusini kushiriki mashindano hayo.
Baadhi ya Wamiliki wa magazeti Tando walioko jijini Dar es Salaam, wakiwa katika picha ya pamoja walipokutana katika tafrija ya kuwaaga, washindi wa shindano la Guinness Football Challenge 2013, kwa ajili ya Safari yao ya Afrika Kusini kwenda kushiriki mashindano hayo. Kutoka kushoto ni Kassim Mbarouku, Mkurugenzi Mtendaji wa Blogu ya hii ya bayana, Fransic Dande, Josephat Lukaza, William Malecela, Ahmad Michuzi, John Bukuku, Henry Mdimu na Othman Michuzi ambaye amekaa chini ni Mroki Mroki a.k.a Father Kidevu.

No comments:
Post a Comment