TANGAZO


Thursday, January 10, 2013

Rais Kikwete aongoza kikao cha TROIKA ya SADC Ikulu Dar es Salaam leo


 
Mwenyekiti wa Asasi ya Siasa, Ulinzi na Usalama ya SADC (TROIKA), Rais Jakaya Mrisho Kikwete, akiwa na Rais Jacob Zuma wa Afrika Kusini, baada ya kumpokea, alipowasili Ikulu kwa kikao cha asasi hiyo leo, Jan. 10,2013, jijini Dar es Salaam. (Picha zote na Kassim Mbarouk)
Mwenyekiti wa Asasi ya Siasa, Ulinzi na Usalama ya SADC (TROIKA), Rais Jakaya Mrisho Kikwete, akimpokea Rais wa Namibia, Hifikepunye Pohamba, alipowasili Ikulu kwa kikao hicho leo Jan. 10,2013, jijini Dar es Salaam.
Mwenyekiti wa Asasi ya Siasa, Ulinzi na Usalama ya SADC (TROIKA), Rais Jakaya Mrisho Kikwete, akiwa na Rais wa Namibia, Hifikepunye Pohamba, baada ya kumpokea, alipowasili Ikulu kwa kikao hicho leo, Jan. 10,2013, jijini Dar es Salaam.
Mwenyekiti wa Asasi ya Siasa, Ulinzi na Usalama ya SADC (TROIKA), Rais Jakaya Mrisho Kikwete, akimpokea Rais Armando Guebuza wa Msumbiji, alipowasili Ikulu kwa kikao hicho leo Jan. 10,2013, jijini Dar es Salaam.
Mwenyekiti wa Asasi ya Siasa, Ulinzi na Usalama ya SADC (TROIKA), Rais Jakaya Mrisho Kikwete, akiwa na Rais Armando Guebuza wa Msumbiji, baada ya kumpokea, alipowasili Ikulu kwa kikao hicho leo, Jan. 10,2013, jijini Dar es Salaam.
 
Mwenyekiti wa Asasi ya Siasa, Ulinzi na Usalama ya SADC (TROIKA), Rais Jakaya Mrisho Kikwete, akiwa pamoja na viongozi wenzake wa asasi hiyo. Kutoka kushoto ni Rais Jacob Zuma wa Afrika Kusini, Rais Armando Guebuza wa Msumbiji na Rais wa Namibia, Hifikepunye Pohamba, wakati walipowasili Ikulu, jijini Dar es Salaam kwa ajili ya kikao chao, leo jioni.
Mwenyekiti wa Asasi ya Siasa, Ulinzi na Usalama ya SADC (TROIKA), Rais Jakaya Mrisho Kikwete, akiwa pamoja na viongozi wenzake wa asasi hiyo. Kutoka kushoto ni Katibu Mkuu wa SADC, Dk. Tomaz Salomao, Rais Jacob Zuma wa Afrika Kusini, Rais Armando Guebuza wa Msumbiji na kulia ni Rais wa Namibia, Hifikepunye Pohamba, wakati walipowasili Ikulu, jijini Dar es Salaam kwa ajili ya kikao chao leo jioni.
Mwenyekiti wa Asasi ya Siasa, Ulinzi na Usalama ya SADC (TROIKA), Rais Jakaya Mrisho Kikwete, akiwaongoza   viongozi wenzake wa asasi hiyo. Kutoka kushoto ni Katibu Mkuu wa SADC, Dk. Tomaz Salomao, Rais Jacob Zuma wa Afrika Kusini, Rais Armando Guebuza wa Msumbiji na kulia ni Rais wa Namibia, Hifikepunye Pohamba, wakati wakiingia Ikulu, jijini Dar es Salaam kwa ajili ya kuanza kikao chao leo jioni.
Mwenyekiti wa Asasi ya Siasa, Ulinzi na Usalama ya SADC (TROIKA), Rais Jakaya Mrisho Kikwete, akiongoza kikao cha asasi hiyo, kilichofanyika Ikulu jijini Dar es Salaam leo jioni. Wengine katika picha kutoka kushoto ni Rais wa Namibia, Hifikepunye Pohamba, Katibu Mkuu wa SADC, Dk. Tomaz Salomao, Rais Armando Guebuza wa Msumbiji, Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Bernard Membe na kulia ni Rais Jackob Zuma wa Afrika ya Kusini.
 
Mwenyekiti wa Asasi ya Siasa, Ulinzi na Usalama ya SADC (TROIKA), Rais Jakaya Mrisho Kikwete, akiongoza kikao cha asasi hiyo, kilichofanyika Ikulu jijini Dar es Salaam leo jioni. Wengine katika picha kutoka kushoto ni Rais wa Namibia, Hifikepunye Pohamba, Katibu Mkuu wa SADC, Dk. Tomaz Salomao, Rais Armando Guebuza wa Msumbiji, Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Bernard Membe na kulia ni Rais Jackob Zuma wa Afrika ya Kusini. (Picha na Freddy Maro)

No comments:

Post a Comment