![]() |
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi,
Dk. Ali
Mohamed Shein, akikagua Gwaride wakati wa Sherehe za Mapinduzi,
zilizofanyika leo kwenye Uwanja wa Amani mjini Zanzibar.
|
![]() |
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. Mohammed Gharib Bilal (kushoto), akiteta na Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar, Maalim Seif Sharif Hamad, wakati wa maadhimisho ya miaka 49 ya Mapinduzi ya Zanzibar.
|









No comments:
Post a Comment