TANGAZO


Wednesday, December 12, 2012

Washindi wa droo ya Pili ya Ki-College zaidi na NMB wapatikana

 
  Meneja Masoko wa benki ya NMB, Shilla Senkoro akifafanua jambo kuhusu huduma za NMB. Kushoto ni Meneja wa Amana, Boma Raballa.
 Meneja Masoko wa benki ya NMB, Shilla Senkoro akionesha baadhi ya zawadi za washindi wa Ki-Collage zaidi na NMB.
Maofisa wa benki ya NMB, kutoka kushoto ni Meneja wa Amana, Boma Rabala, Meneja Masoko, Shilla Senkoro na Meneja Huduma kwa Wateja tawi la Mwenge, Elizabeth Marisham wakionesha baadhi ya zawadi zitakazotolewa kwa washindi wa promosheni ya Ki-College zaidi na NMB.
Mwanafunzi wa Chuo cha Mzumbe, Beatrice Chande akibonyeza kitufete cha kompyuta, wakati wa kuchezeshwa droo ya kuwatafuta washindi wa promosheni ya Ki-College zaidi na NMB, iliyofanyika jijini Dar es Salaam leo. Kushoto ni Meneja Masoko wa NMB, Shilla Senkoro, Msimamizi kutoka Bodi ya Michezo ya Kubahatisha, Abdallah Hemedy na Meneja Huduma kwa Wateja tawi la Mwenge, Elizabeth Marisham. (Picha zote kwa hisani ya Habari Mseto blog) 

No comments:

Post a Comment