TANGAZO


Wednesday, December 12, 2012

Balozi wa Ireland nchini, Fionnuala Gilsenan amtembelea Rais Shein Ikulu mjini Zanzibar

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk. Ali Mohamed Shein, akisalimiana na Balozi wa Ireland Nchini Tanzania, Fionnuala Gilsenan, aliyefika Ikulu mjini Zanzibar kusalimiana na Rais leo.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk. Ali Mohamed Shein, akimkaribisha Balozi wa Ireland nchini Tanzania, Fionnuala Gilsenan, mara baada ya kuwasili Ikulu mjini Zanzibar kwa ajili ya kusalimiana na Rais leo. (Picha zote na Ramadhan
Othman,Ikulu)

No comments:

Post a Comment