Wednesday, December 12, 2012
Rais Dk. Shein azungumza na Wizara ya Miundombinu na Mawasiliano Ikulu mjini Zanzibar
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza Mapinduzi, Dk. Ali Mohamed Shein akizungumza na Uongozi wa Wizara ya Miundombinu na Mawasiliano, katika utekelezaji wa kazi za Wizara hiyo, kwenye Ukumbi wa mikutano wa Ikulu mjini Zanzibar leo. Kushoto ni Katibu Mkuu wa Baraza la Mapinduzi, ambaye pia ni Katibu Mkuu Kiongozi Dk. Abdulhamid Yahya Mzee.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza Mapinduzi, Dk. Ali Mohamed Shein akizungumza na Uongozi wa Wizara ya Miundombinu na Mawasiliano, katika utekelezaji wa kazi za Wizara hiyo kwenye Ukumbi wa mikutano wa Ikulu mjini Zanzibar leo. Wa nne kulia ni Makamo wa Pili wa Rais, Balozi Seif Ali Iddi. (Picha zote na RamadhanOthman, Ikulu)
Subscribe to:
Post Comments (Atom)

No comments:
Post a Comment