TANGAZO


Wednesday, December 12, 2012

Rais Kikwete akutana na aliyekuwa Rais wa Madagasca, Ravalomanana, akubali kurejea nyumbani

Rais Jakaya Mrisho Kikwete na Rais wa zamani wa Madagascar Marc Ravalomanana wakati wa mkutano na waandishi wa habari Ikulu jijini Dar es Salaam jana, December 11, 2012.


Rais wa zamani wa Madagascar Marc Ravalomanana akizungumza na waandishi wa habari, Ikulu jijini Dar es Salaam, wakati alipokuwa akielezea kukubali kwake kurejea nyumbani kwa ajili ya kuendeleza amani na utulivu pamoja na maendeleo ya nchi yake hiyo. Kulia ni mwenyeji wake, Rais Jakaya Kikwete.

Rais wa zamani wa Madagascar Marc Ravalomanana akizungumza na waandishi wa habari, Ikulu jijini Dar es Salaam jana, akielezea kukubali kwake kurejea nyumbani kwa ajili ya kuendeleza amani na utulivu pamoja na maendeleo ya nchi yake ya Madagasca. Kulia ni mwenyeji wake, Rais Jakaya Kikwete.

Rais Jakaya Mrisho Kikwete, akifafanua jambo katika mkutao huo na waandishi wa habari, Ikulu jijini Dar es Salaam jana. Kushoto ni mgeni wake Rais wa zamani wa Madagascar Marc Ravalomanana. (Picha zote na Ikulu)

No comments:

Post a Comment