
Nahodha wa Hoteli ya Seronera, Jamali Kitonga
akifurahia baada ya kukabidhiwa kombe la Ujirani mwema na Rais Jakaya Kikwete
baada ya timu yake kuilaza kwa mabao 5-4 Hoteli ya Four Seasons Safari Lodge
katika Uwanja wa Kifaru kwenye Hifadhi ya Serengeti, mkoani Mara leo. Hadi mechi
inaisha timu hizo zilitoka sare ya 1-1 kabla kupigwa mikwaju ya penati ambapo
Serena walifunga mabao 4 na dhidi ya 3 ya wapinzani wao.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete, akimkabidhi Nahodha wa timu
ya Hoteli ya Seronera, Jamali Kitonga Kombe la Ujirani mwema baada ya timu hiyo,
kuilaza kwa mabao 5-4 hoteli ya Four Seasons katika Uwanja wa Kifaru katika
Hifadhi ya Serengeti mkoani Mara leo. Hadi mechi inaisha timu hizo zilitoka sare
ya 1-1 kabla kupigwa mikwaju ya penati ambapo Serena walifunga mabao 4 dhidi
ya 3 ya wapinzani wao.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiwa katika picha ya pamoja na
timu ya Hoteli ya Four Seasons Safari Lodge kabla ya kucheza na Hoteli ya
Seronera katika Uwanja wa Kifaru kwenye Hifadhi ya Serengeti mkoani Mara leo. Hadi
mechi inaisha timu hizo, zilitoka sare ya bao 1-1 kabla kupigwa mikwaju ya penati
ambapo Seronera walifunga mabao 4 dhidi ya 3 ya wapinzani wao.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete, akiwa katika picha ya pamoja na
timu ya Hoteli ya Seronera kabla ya kucheza na Hoteli ya Four Seasons Safari
Lodge katika Uwanja wa Kifaru kwenye Hifadhi ya Serengeti, mkoani Mara leo. Hadi
mechi inaisha timu hizo zilitoka sare ya bao 1-1 kabla kupigwa mikwaju ya penati
ambapo Seronera walifunga mabao 4 dhidi ya 3 ya wapinzani wao.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete, akikagua timu ya Hoteli
ya Seronera kabla ya kucheza na Hoteli ya Four Seasons Safari Lodge katika
Uwanja wa Kifaru kwenye Hifadhi ya Serengeti mkoani Mara leo. Hadi mechi inaisha
timu hizo zilitoka sare ya bao 1-1 kabla kupigwa mikwaju ya penati ambapo Seronera
walifunga mabao 4 dhidi ya 3 ya wapinzani wao.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete, akiikagua timu ya Hoteli
ya Seronera kabla ya kucheza na Hoteli ya Four Seasons Safari Lodge katika
Uwanja wa Kifaru kwenye Hifadhi ya Serengeti mkoani Mara leo. Hadi mechi inaisha
timu hizo zilitoka sare ya bao 1-1 kabla kupigwa mikwaju ya penati ambapo Seronera walifunga mabao 4 dhidi ya 3 ya wapinzani wao. (Picha zote na Ikulu)
No comments:
Post a Comment