TANGAZO


Tuesday, December 11, 2012

Rais Jakaya Kikwete apokea majengo matatu mapya ya huduma za mama na mtoto Dar es Salaam

 


Rais Jakaya Mrisho Kikwete, Mama Salma Kikwete, Mbunge wa Ubungo, John Mnyika na Balozi wa Korea kwa pamoja wakifungua rasmi jengo la Huduma za Mama na Mtoto katika Hospitali ya Sinza Palestina, Kinondoni jijini Dar es Salaam leo December 11, 2012.

Rais Jakaya Mrisho Kikwete, Mama Salma Kikwete na Balozi wa Korea kwa pamoja wakitembelea sehemu ya chumba cha upasuaji mkubwa chenye vifaa vya kisasa baada ya kufungua rasmi jengo la Huduma za Mama na Mtoto katika Hospitali ya Mnazi Mmoja Ilala, jijini Dar es Salaam leo, December 11, 2012.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete, Mama Salma Kikwete wakimsalimia mzazi aliyejifungua salama alipofanya ziara baada ya kufungua rasmi jengo la Huduma za Mama na Mtoto katika Hospitali ya Sinza Palestina, Kinondoni jijini Dar es Salaam leo December 11, 2012. (Picha zote na Ikulu)

No comments:

Post a Comment